Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu petro, Nikujuze nilioshuhudia mie kuwa Maiti hulazwa chali, Sababu asioze haraka kwani vidudu vinaanza kula jicho la kulia (rightside eye) kwanza na kusababisha muozo kutoa harufu kali. kashesho
Ndugu Mpendwa Msumeno, Mleta uzi hakusema wakati wa kuzika ! kazungumzia anapolazwa aliyekufa !!!Kwani wanaokufa ni wakristu tu?? sisi wailam maisti humlaza akilalia mkono wa kushoto yaani ubabu ubavu.... na sijawahi ona damu.. by the way hizi threath mbona zimekaa kiulozi ulozi tu
hapo lazima kuna ufafanuzi kwanini ianze jicho la kulia na sio pengine? au ndio ule msemo usemao siri ya maiti aijuaye kaburi
Sista kitaalamu na Bio. jicho la kulia ndilo la kwanza kuumbwa ktk nafsi ya mwanaadamu anapokuwa kuWomb. Halafu jicho hilo huwa la kwanza kufunguka baada ya kuzaliwa na hatimaye kutumika sana, na jicho la kwanza kuoza na kuform wadudu, hata unapoamka usingizini nalo is the first to vision !!
Karibu tena for Knowing your Nafsi.
Ndugu Mpendwa Msumeno, Mleta uzi hakusema wakati wa kuzika ! kazungumzia anapolazwa aliyekufa !!!
Mhhh makubwa madogo yana nafuu ngoja nifanye uchunguzi yakinifu
Mkuu Msumeno bila samahani wee wangu, Halafu WHY itishe au kuhofia ?!! Kwa sababu Kesho ONE OF US (kati yetu ) hujui nani atakae tangulia, Pia Sisi siku moja tuta lazwa chali na kuzibwa maeneo yenye matundu mwilini !! Hatuta kuwa na uwezo wa kuzui lolote. Hivyo usiogope.........................! Uhai raha, Lakini Mauti nRahaaa zaidi ukijaaliwa ni melele !!Ohhh!!! sorry samahani mkuu nadhani sikuelewa vizuri labda kuna sababu nyinginezo pia maana matundu yote huzibwa kwa pamba ... anyway threds kama hizi nazo zinatisha aisee
hahahahahahaha wewe umeua aisee khaaaaa! mbavu zangu mimi jmn hahahahahaaaaaaaaaaaanalazwa chali ili asipaliwe na mate
Iwe kitandani, kwenye jeneza, kwenye mkeka au sakafuni, mwili wa marehemu hulazwa chalichali. Kwanini huwa haulazwi kifudifudi ?
Mambo mengine hata punda anaweza akajibu.
..........Kama hivyo ni kweli basi hata kuzika wangekuwa wanazika juu ya mti na sio kumchimbia chini ambapo ni kwa Shetani.Kwa mtazamo wa imani ya kidini nadhani Kila ndugu anapendatmarehemu wake aende mbinguni juu ambapo ndio mungu yupo na chini ni kuzimu kwa shetani.
Iwe kitandani, kwenye jeneza, kwenye mkeka au sakafuni, mwili wa marehemu hulazwa chalichali. Kwanini huwa haulazwi kifudifudi ?
Iwe kitandani, kwenye jeneza, kwenye mkeka au sakafuni, mwili wa marehemu hulazwa chalichali. Kwanini huwa haulazwi kifudifudi ?
Mkuu Msumeno bila samahani wee wangu, Halafu WHY itishe au kuhofia ?!! Kwa sababu Kesho ONE OF US (kati yetu ) hujui nani atakae tangulia, Pia Sisi siku moja tuta lazwa chali na kuzibwa maeneo yenye matundu mwilini !! Hatuta kuwa na uwezo wa kuzui lolote. Hivyo usiogope.........................! Uhai raha, Lakini Mauti nRahaaa zaidi ukijaaliwa ni melele !!
Ulishawahi kuaga kwenye msiba. hujawahi kujiuliza kwanini mwili wa marehemu huwekwa pamba puani na wakati tayari ameshakufa?
YaLLaa wandugu,Dah kweli kukumbushana siku nzito kama hizi ni muhimu imagine unalazwa chali unaogeshwa huwezi chagua aina ya maji kama ya moto au baridi, unavuliwa nguo unapachikwa pamba sehemu za siri na kwingine huwezi kama mpachikaji anakuumiza au hupendi anakugeuza atakavyo,, anakuweka kwenye sanduku au jeneza ,,, hakuulizi kama unalakusema kabla hajakuweka kaburi,,, anatoweka kama analia au nacheka huna uwezo wa kuhoji,, unabaki peke yako Malaika wa mauti nao wanafika na maswali yao....basi bwana wacha niachie hapa
pamba inayowekwa ni kwa ajili ya kukinga wagugu/bakteria waisiingie puani na kumfanya aoze harakaUlishawahi kuaga kwenye msiba. hujawahi kujiuliza kwanini mwili wa marehemu huwekwa pamba puani na wakati tayari ameshakufa?