Kwanini marehemu halazwi kifudifudi?

Kwanini marehemu halazwi kifudifudi?

Kwani wanaokufa ni wakristu tu?? sisi wailam maisti humlaza akilalia mkono wa kushoto yaani ubabu ubavu.... na sijawahi ona damu.. by the way hizi threath mbona zimekaa kiulozi ulozi tu
 
Mkuu petro, Nikujuze nilioshuhudia mie kuwa Maiti hulazwa chali, Sababu asioze haraka kwani vidudu vinaanza kula jicho la kulia (rightside eye) kwanza na kusababisha muozo kutoa harufu kali. kashesho

hapo lazima kuna ufafanuzi kwanini ianze jicho la kulia na sio pengine? au ndio ule msemo usemao siri ya maiti aijuaye kaburi
 
Kwani wanaokufa ni wakristu tu?? sisi wailam maisti humlaza akilalia mkono wa kushoto yaani ubabu ubavu.... na sijawahi ona damu.. by the way hizi threath mbona zimekaa kiulozi ulozi tu
Ndugu Mpendwa Msumeno, Mleta uzi hakusema wakati wa kuzika ! kazungumzia anapolazwa aliyekufa !!!
 
hapo lazima kuna ufafanuzi kwanini ianze jicho la kulia na sio pengine? au ndio ule msemo usemao siri ya maiti aijuaye kaburi

Sista kitaalamu na Bio. jicho la kulia ndilo la kwanza kuumbwa ktk nafsi ya mwanaadamu anapokuwa kuWomb. Halafu jicho hilo huwa la kwanza kufunguka baada ya kuzaliwa na hatimaye kutumika sana, na jicho la kwanza kuoza na kuform wadudu, hata unapoamka usingizini nalo is the first to vision !!
Karibu tena for Knowing your Nafsi.
 
Mhhh makubwa madogo yana nafuu ngoja nifanye uchunguzi yakinifu
 
Ndugu Mpendwa Msumeno, Mleta uzi hakusema wakati wa kuzika ! kazungumzia anapolazwa aliyekufa !!!

Ohhh!!! sorry samahani mkuu nadhani sikuelewa vizuri labda kuna sababu nyinginezo pia maana matundu yote huzibwa kwa pamba ... anyway threds kama hizi nazo zinatisha aisee
 
Mkuu Msumeno bila samahani wee wangu, Halafu WHY itishe au kuhofia ?!! Kwa sababu Kesho ONE OF US (kati yetu ) hujui nani atakae tangulia, Pia Sisi siku moja tuta lazwa chali na kuzibwa maeneo yenye matundu mwilini !! Hatuta kuwa na uwezo wa kuzui lolote. Hivyo usiogope.........................! Uhai raha, Lakini Mauti nRahaaa zaidi ukijaaliwa ni melele !!
 
Kwa mtazamo wa imani ya kidini nadhani Kila ndugu anapendatmarehemu wake aende mbinguni juu ambapo ndio mungu yupo na chini ni kuzimu kwa shetani.
..........Kama hivyo ni kweli basi hata kuzika wangekuwa wanazika juu ya mti na sio kumchimbia chini ambapo ni kwa Shetani.
 
:A S-confused1::A S-confused1::rolleyez::rolleyez:
 
Iwe kitandani, kwenye jeneza, kwenye mkeka au sakafuni, mwili wa marehemu hulazwa chalichali. Kwanini huwa haulazwi kifudifudi ?

tutaanza na wewe afu pia hatukufungi ile shuka nyeupe tunakuacha wazi ili jamii ikuone kulingana na ulichouliza hapo tutapata jibu la KIFUDIFUDI.
 
Mkuu Msumeno bila samahani wee wangu, Halafu WHY itishe au kuhofia ?!! Kwa sababu Kesho ONE OF US (kati yetu ) hujui nani atakae tangulia, Pia Sisi siku moja tuta lazwa chali na kuzibwa maeneo yenye matundu mwilini !! Hatuta kuwa na uwezo wa kuzui lolote. Hivyo usiogope.........................! Uhai raha, Lakini Mauti nRahaaa zaidi ukijaaliwa ni melele !!

Dah kweli kukumbushana siku nzito kama hizi ni muhimu imagine unalazwa chali unaogeshwa huwezi chagua aina ya maji kama ya moto au baridi, unavuliwa nguo unapachikwa pamba sehemu za siri na kwingine huwezi kama mpachikaji anakuumiza au hupendi anakugeuza atakavyo,, anakuweka kwenye sanduku au jeneza ,,, hakuulizi kama unalakusema kabla hajakuweka kaburi,,, anatoweka kama analia au nacheka huna uwezo wa kuhoji,, unabaki peke yako Malaika wa mauti nao wanafika na maswali yao....basi bwana wacha niachie hapa
 
YaLLaa wandugu,
kila mmoja atasafiri kwa ticket alonayo, Lakini hajui Safari hiyo tarehe gani, Safari hii haina Tajiri,Msomi au Masikini au, au.... ni siku yako hiyo ? Safari hiyo ni Kifo, haijui nani wala nani.... Tujiaandae na safari ambayo inatakiwa uondoke na zawadi, Sasa zawadi ni ipi? Zawadi ni Ucha Mungu (ucha Mungu,Taqwa,matendo mema) !!

Halafu unaondoka safari hii na gari !! gari lenyewe halina mafuta,diseli wala maji, (gari hili ni jeneza/Coffin) gari hii inaogopwa hata na mwizi,Polisi hata na Mkuu wa mkoa linaendeshwa na madereva wengi na waina zote (watu watakao kubeba), Yaani warefu wafupi , mwendo wa gari hili ni linakwenda kwa kushuka na kunyanyuka linakupeleka hadi kaburini. Sasa humo ndani ya gari upoje ?!!

Na ukifika kaburini Unasubiriwa na Funza,wadudu wa kila aina na Mchanga/udongo tani 5 juu yako!! Sasa Mtu wewe hayo yote ulokusanya Duniani ( kwa kutumia nguvu,ujanja,ufisadi,wizi,fitina,dhuluma,Rushwa,nyuanganyi,kughushi,kuchepuka,nk,nk.) !! humo kaburini vitakuteteajee?

charminglady

YaLLaa wandugu,
kila mmoja atasafiri kwa ticket alonayo, Lakini hajui Safari hiyo tarehe gani, Safari hii haina Tajiri,Msomi au Masikini au, au.... ni siku yako hiyo ? Safari hiyo ni Kifo, haijui nani wala nani.... Tujiaandae na safari ambayo inatakiwa uondoke na zawadi, Sasa zawadi ni ipi? Zawadi ni Ucha Mungu (ucha Mungu,Taqwa,matendo mema) !!

Halafu unaondoka safari hii na gari !! gari lenyewe halina mafuta,diseli wala maji, (gari hili ni jeneza/Coffin) gari hii inaogopwa hata na mwizi,Polisi hata na Mkuu wa mkoa linaendeshwa na madereva wengi na waina zote (watu watakao kubeba), Yaani warefu wafupi , mwendo wa gari hili ni linakwenda kwa kushuka na kunyanyuka linakupeleka hadi kaburini. Sasa humo ndani ya gari upoje ?!!

Na ukifika kaburini Unasubiriwa na Funza,wadudu wa kila aina na Mchanga/udongo tani 5 juu yako!! Sasa Mtu wewe hayo yote ulokusanya Duniani ( kwa kutumia nguvu,ujanja,ufisadi,wizi,fiti na,dhuluma,Rushwa,nyuanganyi,k ughushi,kuchepuka,nk,nk.) !! humo kaburini vitakuteteajee?
 
Last edited by a moderator:
Ulishawahi kuaga kwenye msiba. hujawahi kujiuliza kwanini mwili wa marehemu huwekwa pamba puani na wakati tayari ameshakufa?
pamba inayowekwa ni kwa ajili ya kukinga wagugu/bakteria waisiingie puani na kumfanya aoze haraka
 
Back
Top Bottom