Kwanini Marekani aliacha kuingilia ugomvi na vita ambazo hazimuhusu baada ya kupewa funzo na Somalia

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Baada ya kujikuta kabolonga Somalia mwaka 1993 kuingilia vita za wenyewe kwa wenyewe basi ilitungwa sheria ambayo inatumika mpaka leo ambayo hata ukiwa swahiba wake hata weza kuingilia ila kukupa msaada tu.

hata kipindi cha Rwanda iliweza kumaliza ila kutokana sheria iliyopitishwa iliacha ilo swala.

Watu wengi hapa JF utashangaa wakisema Marekani ni muoga ila warudi kusoma sheria iliyowafanya hivyo.
 
Somalia huyu huyu ambaye mpaka muda huu kuna zaidi ya wanajeshi 1000 wa marekani au mwingine?
 
MAREKANI ALIKULA KIPIGO CHA MBWA KOKO hawataki hata kukumbuka wale wasomali waliwabanika wanajeshi wa marekani hai kama nyama mpaka wakaiva acha kabisa mkuu.
 
Basi ni hatari sana,kwahiyo urafiki umerudi maaana naona mwaka jana zaidi ya wanajeshi 1000 waliingia somalia.
 
kipindi kile waliingilia vagi la watu ndio maana yani walikuwa na mnyukano marekani akaingilia kibabe wakaacha kulumbana wakadeal na mmarekani bifu zishaisha kwa sasa ni kawaida.
 
MAREKANI ALIKULA KIPIGO CHA MBWA KOKO hawataki hata kukumbuka wale wasomali waliwabanika wanajeshi wa marekani hai kama nyama mpaka wakaiva acha kabisa mkuu.
Tofatisha Kati ya Vita na Mission. Ile ya Somalia dhidi ya Adid ilikuwa Mission na sio Vita. Ilihususha wanajeshi maalumu 129 wakauwawa 38 ndipo Marekani ika Abbort Mission. Sasa niambie,Nchi gani inakwenda vitani dhidi ya Nchi nyingine ikiwa na wanajeshi 129?

Somalia hauwezi kusimama na Marekani vitani kwa siku 10 Kama Marekani ikitangaza Vita dhidi yake,bunge likaudhinisha na rais akatoa Go Ahead.
 
kipindi kile waliingilia vagi la watu ndio maana yani walikuwa na mnyukano marekani akaingilia kibabe wakaacha kulumbana wakadeal na mmarekani bifu zishaisha kwa sasa ni kawaida.
Aisee!,somalia wakiamua lao ni hatari sana.
 
Tofatisha Kati ya Vita na Mission. Ile ya Somalia dhidi ya Adid ilikuwa Mission na sio Vita. Ilihususha wanajeshi maalumu 129 wakauwawa 38 ndipo Marekani ika Abbort Mission. Sasa niambie,Nchi gani inakwenda vitani dhidi ya Nchi nyingine ikiwa na wanajeshi 129?

Somalia hauwezi kusimama na Marekani vitani kwa siku 10 Kama Marekani ikitangaza Vita dhidi yake,bunge likaudhinisha na rais akatoa Go Ahead.
unakubali alikula kichapo si ndio? hio ya Ukraine ni mission tuu lakini ni mwaka na kitu haitoi credit kwamba si vita mzee hilo ni doa tayari.
 
Baada ya kujikuta kabolonga Somalia mwaka 1993 kuingilia vita za wenyewe kwa wenyewe basi ilitungwa sheria ambayo inatumika mpaka leo ambayo hata ukiwa swahiba wake hata weza kuingilia ila kukupa msaada tu.

hata kipindi cha Rwanda iliweza kumaliza ila kutokana sheria iliyopitishwa iliacha ilo swala.

Watu wengi hapa JF utashangaa wakisema Marekani ni muoga ila warudi kusoma sheria iliyowafanya hivyo.
Mmarekani vita anaogopa sana japo anaiweza, uharibifu wa miji yake mikuu ndo hataki kabisa kuingiza hatihani
 
unakubali alikula kichapo si ndio? hio ya Ukraine ni mission tuu lakini ni mwaka na kitu haitoi credit kwamba si vita mzee hilo ni doa tayari.
Labda utakuwa hauelewi. Unafananisha Mission ya Marekani kule Somalia iliyohusika makomandoo 129 tu na kupoteza Makomandoo 38 na Vita ya Urusi nchini Ukraine inayohusisha Zaidi ya Wanajeshi 300,000 wa Urusi huku Zaidi ya 100,000 wakifa?

Unapozungumzia Vita maana yake Nchi husika inatumia kila silaha iliyonayo. Huko Uraine Ukiacha NYUKRIA,hakuna Silaha ambayo Urusi hajatumia wakati Kule Somalia,Ni Helicopter 9 za Black Hawk zilitumika huku waasi wakiangusha 3 Kati ya hizo. Marekani haikutumia Silaha Zaidi ya hizo Helikopta 9 tu. Sasa wewe kwa akili yako Unaweza kuangusha Helikopta 3 tu za Marekani tayari ukawa umeshinda Vita dhidi ya Marekani?
 
Jana nilikuwa natazama BBC Kiswahili Mturuki anataka kuinunua Bifu ya Somalia vs Somaliland/Ethiopia kitimtim kipya kinakuja 2024.😁
 
Nchi kama Somalia Ina Laana Wee Watu Gani Hawapatani Miaka Nenda Miaka Rudi Vita tuu Njaa,maradhi,Umaskini ,Shida Kila Kitu Si LAANA hiyo
 
Vitu ambavyo uwezi kusikia muislamu kusema ni ili.
somalia ina tatizo lilochanganyika udini na ukabila.
Na udini ndio unatajwa kuwa sababu kubwa kutenganesha makabila kwa koo zao.
DIni bado inapigana na serikali ikitaka kufanya inavotaka.
Hata sheik mazige uwezi kusikia hakisema
 
unakubali alikula kichapo si ndio? hio ya Ukraine ni mission tuu lakini ni mwaka na kitu haitoi credit kwamba si vita mzee hilo ni doa tayari.
unaonekana upo kishabiki zaid , vita inapiganwa na wanajeshi 129?
 
Urusi imepeleka Ukraine wanajeshi zaid ya nusu milioni na inakadiriwa zaidi ya 300,000 wamekufa, kutoweka au hawajulikani walipo.
Kwa idadi hii ni jua tu bado ataendelea kusema hiyo ni SMO
 
unaonekana upo kishabiki zaid , vita inapiganwa na wanajeshi 129?
mission ni vita kama vita nyingine mdau haibadilishi kupigwa wewe ndie unaejikinga na ushabiki hutaki kukubali alipigwa au?
 
Back
Top Bottom