Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
unajua hawa wanataka kusikia full scale war ila ukichukua askari kadhaa kupigana na nje ya nchi yako kwa maslahi yako hio ni vita kamili umepigana.Urusi imepeleka Ukraine wanajeshi zaid ya nusu milioni na inakadiriwa zaidi ya 300,000 wamekufa, kutoweka au hawajulikani walipo.
Kwa idadi hii ni jua tu bado ataendelea kusema hiyo ni SMO