Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
MAREKANI ALIKULA KIPIGO CHA MBWA KOKO hawataki hata kukumbuka wale wasomali waliwabanika wanajeshi wa marekani hai kama nyama mpaka wakaiva acha kabisa mkuu.Somalia huyu huyu ambaye mpaka muda huu kuna zaidi ya wanajeshi 1000 wa marekani au mwingine?
Basi ni hatari sana,kwahiyo urafiki umerudi maaana naona mwaka jana zaidi ya wanajeshi 1000 waliingia somalia.MAREKANI ALIKULA KIPIGO CHA MBWA KOKO hawataki hata kukumbuka wale wasomali waliwabanika wanajeshi wa marekani hai kama nyama mpaka wakaiva acha kabisa mkuu.
kipindi kile waliingilia vagi la watu ndio maana yani walikuwa na mnyukano marekani akaingilia kibabe wakaacha kulumbana wakadeal na mmarekani bifu zishaisha kwa sasa ni kawaida.Basi ni hatari sana,kwahiyo urafiki umerudi maaana naona mwaka jana zaidi ya wanajeshi 1000 waliingia somalia.
Tofatisha Kati ya Vita na Mission. Ile ya Somalia dhidi ya Adid ilikuwa Mission na sio Vita. Ilihususha wanajeshi maalumu 129 wakauwawa 38 ndipo Marekani ika Abbort Mission. Sasa niambie,Nchi gani inakwenda vitani dhidi ya Nchi nyingine ikiwa na wanajeshi 129?MAREKANI ALIKULA KIPIGO CHA MBWA KOKO hawataki hata kukumbuka wale wasomali waliwabanika wanajeshi wa marekani hai kama nyama mpaka wakaiva acha kabisa mkuu.
Aisee!,somalia wakiamua lao ni hatari sana.kipindi kile waliingilia vagi la watu ndio maana yani walikuwa na mnyukano marekani akaingilia kibabe wakaacha kulumbana wakadeal na mmarekani bifu zishaisha kwa sasa ni kawaida.
unakubali alikula kichapo si ndio? hio ya Ukraine ni mission tuu lakini ni mwaka na kitu haitoi credit kwamba si vita mzee hilo ni doa tayari.Tofatisha Kati ya Vita na Mission. Ile ya Somalia dhidi ya Adid ilikuwa Mission na sio Vita. Ilihususha wanajeshi maalumu 129 wakauwawa 38 ndipo Marekani ika Abbort Mission. Sasa niambie,Nchi gani inakwenda vitani dhidi ya Nchi nyingine ikiwa na wanajeshi 129?
Somalia hauwezi kusimama na Marekani vitani kwa siku 10 Kama Marekani ikitangaza Vita dhidi yake,bunge likaudhinisha na rais akatoa Go Ahead.
Mmarekani vita anaogopa sana japo anaiweza, uharibifu wa miji yake mikuu ndo hataki kabisa kuingiza hatihaniBaada ya kujikuta kabolonga Somalia mwaka 1993 kuingilia vita za wenyewe kwa wenyewe basi ilitungwa sheria ambayo inatumika mpaka leo ambayo hata ukiwa swahiba wake hata weza kuingilia ila kukupa msaada tu.
hata kipindi cha Rwanda iliweza kumaliza ila kutokana sheria iliyopitishwa iliacha ilo swala.
Watu wengi hapa JF utashangaa wakisema Marekani ni muoga ila warudi kusoma sheria iliyowafanya hivyo.
Labda utakuwa hauelewi. Unafananisha Mission ya Marekani kule Somalia iliyohusika makomandoo 129 tu na kupoteza Makomandoo 38 na Vita ya Urusi nchini Ukraine inayohusisha Zaidi ya Wanajeshi 300,000 wa Urusi huku Zaidi ya 100,000 wakifa?unakubali alikula kichapo si ndio? hio ya Ukraine ni mission tuu lakini ni mwaka na kitu haitoi credit kwamba si vita mzee hilo ni doa tayari.
Vitu ambavyo uwezi kusikia muislamu kusema ni ili.Nchi kama Somalia Ina Laana Wee Watu Gani Hawapatani Miaka Nenda Miaka Rudi Vita tuu Njaa,maradhi,Umaskini ,Shida Kila Kitu Si LAANA hiyo
unaonekana upo kishabiki zaid , vita inapiganwa na wanajeshi 129?unakubali alikula kichapo si ndio? hio ya Ukraine ni mission tuu lakini ni mwaka na kitu haitoi credit kwamba si vita mzee hilo ni doa tayari.
Acha Story za masjidMAREKANI ALIKULA KIPIGO CHA MBWA KOKO hawataki hata kukumbuka wale wasomali waliwabanika wanajeshi wa marekani hai kama nyama mpaka wakaiva acha kabisa mkuu.
Hata wakiwa kumi tayari ni vita iyounaonekana upo kishabiki zaid , vita inapiganwa na wanajeshi 129?
Urusi imepeleka Ukraine wanajeshi zaid ya nusu milioni na inakadiriwa zaidi ya 300,000 wamekufa, kutoweka au hawajulikani walipo.unakubali alikula kichapo si ndio? hio ya Ukraine ni mission tuu lakini ni mwaka na kitu haitoi credit kwamba si vita mzee hilo ni doa tayari.
mission ni vita kama vita nyingine mdau haibadilishi kupigwa wewe ndie unaejikinga na ushabiki hutaki kukubali alipigwa au?unaonekana upo kishabiki zaid , vita inapiganwa na wanajeshi 129?
mtoto wa juzi utajulia wapi acha mahaba na marekani simamia ukweli alipigwa hakupigwa. NB mimi ni mkristo wala si muislam.Acha Story za masjid