Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #141
Poa mkuuntarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuuntarudi
Ngoja wanaonielewa watanijibu ipasavyo mkuu.Hueleweki mkuu. Au umekosea kuandika?
Ina maana wewe na huko kusoma kwako unajua historia zoooote za kila jambo hapa duniani?...Tatizo hamsomi historia,na ndo tatizo hamjui vzr kwa nn United State of amerika inaongoza kwa kila kitu katika karne hii
We nawe unajichanganya tu kwani wafaransa sio wazungu?Mkuu, mimi sizungumzii ethnicity mbona unakuwa mgumu sana kuelewa?
Hata kama Mexico ingekuwa imejaa wahaya watupu kwanini imepigwa gape kuwa sana na USA wakati watu wanaamini kukaa karibu na mzungu ndio maendeleo yanakuja kwa haraka kama Ufaransa alivyokaa na Ujerumani?
Alafu watu kama nyie ndio wale wanaoamini eti ukiwa karibu na mzungu ndio unakuwa powerful kama yeye. Mbona Mexico sio powerful licha ya kuwa karibu na Marekani?We nawe unajichanganya tu kwani wafaransa sio wazungu?
Leo umechemka infantry soja, katafute notes na vijarida uvisome vizuri ndio uje ushushe uzi humuAlafu watu kama nyie ndio wale wanaoamini eti ukiwa karibu na mzungu ndio unakuwa powerful kama yeye. Mbona Mexico sio powerful licha ya kuwa karibu na Marekani?
Mimi siwezi kusoma makala zoooote hapa duniani mkuu kwa maana mimi sio computerized robot ndio maana nikaja kuuliza humu kwa wachambuzi wengine wa mambo ili nipate kujifunza vema.Leo umechemka infantry soja, katafute notes na vijarida uvisome vizuri ndio uje ushushe uzi humu
Corruption kama Uganda ya Idd AminShida kubwa ya Mexico ni corruption, wanaiba pesa za serikali ile mbaya
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika?
View attachment 1605845
Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule msemo/dhana maarufu ya kwamba kuishi karibu na mahakama sio kujua sheria kwa maana nchi ya Mexico ipo karibia kabisa na mahakama (Marekani) lakini bado sio wabobezi wa sheria (Global Influence) tofauti na Wafaransa wanavyojitahidi kutaka kulingana na Wajerumani.
Kwanini utofauti ni mkubwa hivi na hawa wote ni rangi nyeupe?
Kwa kipindi cha muda mrefu sana kumekuwapo na dhana sijui niseme ni kasumba ya kuamini kwamba ukikaa karibu na mzungu basi wewe ndio umefanikiwa. Tazama maendeleo ya nchi kama South Afrika ukilinganisha na jirani zao wa Msumbiji waliojawa na umasikini wa kutupwa.
Asilimia kubwa ya watu wanaamini ya kwamba maendeleo yale ya vitu yametokana na wao kukumbatia wazungu waliokuwapo nchi ile enzi na enzi pamoja na uamuzi wa mzee Madiba wa kutotaka kuwafukuza punde baada ya kumalizika kwa utawala wa kikaburu (Apatheid Regime)
Tukirudi hapa nyumbani kwetu Tanzania, moja kati ya sera za baba wa taifa Mwalimu Julius Nyarere ambazo baadhi ya wanazuoni wamekuwa wakizikosoa kwa nguvu zote na kudai ya kwamba ndio chanzo kikuu cha Tanzania kutokuwa na uchumi kama wa South Afrika ni ile ya kuwafukuza wazungu nikiwa na maana kwamba aliwafukuza kwa kufuta lugha ya kiingereza kama medium of instruction katika taasisi zetu za elimu ya msingi pamoja na utaifishwaji wa mali zao.
Achilia mbali sera za Mwalimu Nyerere pamoja na Makaburu wa South Afrika, bali turudi huku uswahilini kwetu tunapokaa. Just imagine leo hii umepita ukiongozana na mzungu barabarani huku uswahilini tunapokaa, unafikiri watu watasemaje. Lazima viji maneno vitambae utasikia daaaah yule jamaa si ndio Infantry Soldier.
Yule si ndio hapa juzi alikuwa analialia eti ameangusha pesa yake 300,000/= ya rambirambi ila leo anaongozana na wazungu hakika ametoboa kimaisha. Kwanini hii dhana ya mafanikio huletwa ukaapo na mzungu imekuwa si halisi kwa Mexico?
SWALI LA KIZUSHI: Je, ni mara ngapi uliwahi kukataa kupiga picha na mzungu? (Kuwa Mkweli)
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Utofauti wa kiuchumi baina ya Tanzania na Kenya hauwezi ukaufananisha na ule wa Mexico na USA.Kenya na Tanzania zinatofautishwa na mpaka wa kuvuka na mguu, nini kinaangusha thaman ya hela ya Tanzania?
Kama wana akili kama zako kwa nini wasinipige mawe? Ila wamasaki, osterbay,mwenge hawawez kunipiga mawe kwa sababu wana akili za kutafakari.Sasa wewe chukua hao Latino kisha nenda nao Mbagala alafu kawaambie watu kuwa hawa sio watu weupe kama haujapigwa mawe...
Sina muda wa kubishana na watoto wadogo kama nyie.Kama wana akili kama zako kwa nini wasinipige mawe? Ila wamasaki, osterbay,mwenge hawawez kunipiga mawe kwa sababu wana akili za kutafakari.
Maeneo niliokulia watu wako hao unaowaota weupe tunaishi nao uswahilini na wala hatuwashangai.Inawezekana ulikulia kijijini sana.Kama ungekulia kariakoo wala huwezi shangaa na kutukyza warabu,wahindi nk. Kwanza warabu na wahindi waliomo humu JF wanakuona punguwani.
Okay...Wakati wa vita vya dunia kama sijasahau kama sio WW1 basi ni WW2 Mexico wali compromise na Germany ya Adolf Hitler itumike kama njia ya kuishambulia USA.
Siyo wazungu!Mexico Sio Nchi ya Wazungu, wala Raia wake sio Wazungu...
Na hawapendi kabisa kuchanganywa na kuitwa Wazungu!
Na wala hawawapendi Wazungu coz wao sio Wazungu!
Mkuu, kuna watu wamejaa ujinga sana humu JF hususan katika mada hii. Yaaani wao wanataka kujifanya ndio wanajua kila kitu na kila "race" za binadamu wote hapa duniani.Siyo wazungu!
Ni race gani sasa?
The first wave of French immigration to Mexico occurred in the 1830s, following the country's recognition by France, with the foundation of a French colony on the Coatzacoalcos River, in the state of Veracruz. In total, 668 settlers were brought from France to populate the colony.Mexico Sio Nchi ya Wazungu, wala Raia wake sio Wazungu...
Na hawapendi kabisa kuchanganywa na kuitwa Wazungu!
Na wala hawawapendi Wazungu coz wao sio Wazungu!