Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

Tatizo hamsomi historia,na ndo tatizo hamjui vzr kwa nn United State of amerika inaongoza kwa kila kitu katika karne hii

Kumbukeni hawa watu ni watu wenye akili sana kabla cjaenda huko mbele

Katika vita vya pili vya dunia mmarekani hukujihusisha kwenye vita hii,akitumia tu akili nyingi kwa kuuza silaa kwa nchi ziluzokuwa zinapigana vita katika hiyo vita

Na aliweza kukamata ela nyingi sana kwa kuwa silaa zake zilikuwa bora sana na mpaka leo

Alitumia mwanya huo kupiga Ela nyingi Sana

Na kumbuka ofisi zote kubwa za hapa duniani na kampuni kubwa zote zipo u.s.a

Na ni mwizi wa mafuta duniani nzima japo yy si mchimbaji wa mafuta na yy ndo anaongoza kuwa na visima vya kutengenezwa kwa ajili ya uhifadhi wa mafuta

Kumbuka hakuna taifa ndani ya dunia hii ambaye haishi u.s.a

Wanawatumia kwa akili sana kwa faida yao ni lini hii nchi itapitwa na kwa nini asiwe wa kwanza kwa kila kitu

Katiba yao iko imara na ni nzuri kwa raia wake kwa nini wasiwe wakwanza
 
Tatizo hamsomi historia,na ndo tatizo hamjui vzr kwa nn United State of amerika inaongoza kwa kila kitu katika karne hii
Ina maana wewe na huko kusoma kwako unajua historia zoooote za kila jambo hapa duniani?...
 
We nawe unajichanganya tu kwani wafaransa sio wazungu?
 
Wakati wa vita vya dunia kama sijasahau kama sio WW1 basi ni WW2 Mexico wali compromise na Germany ya Adolf Hitler itumike kama njia ya kuishambulia USA.

Sasa bahati mbaya mawasiliano yao yakawa intercepted na majasusi wa USA tangu wkt huo USA wapo macho wazi na Mexico labda tatizo lilianzia hapo, hawaaminiki tens.
 

Kenya na Tanzania zinatofautishwa na mpaka wa kuvuka na mguu, nini kinaangusha thaman ya hela ya Tanzania?
 
Kenya na Tanzania zinatofautishwa na mpaka wa kuvuka na mguu, nini kinaangusha thaman ya hela ya Tanzania?
Utofauti wa kiuchumi baina ya Tanzania na Kenya hauwezi ukaufananisha na ule wa Mexico na USA.

Sisi watanzania tuna roho ya upendo sana ndio maana tukaamua kuweka uchumi wetu rehani ili kuwakomboa ndugu zetu wa Uganda kutoka katika mikono ya gaidi Idd Amin.
 
Sasa wewe chukua hao Latino kisha nenda nao Mbagala alafu kawaambie watu kuwa hawa sio watu weupe kama haujapigwa mawe...
Kama wana akili kama zako kwa nini wasinipige mawe? Ila wamasaki, osterbay,mwenge hawawez kunipiga mawe kwa sababu wana akili za kutafakari.
Maeneo niliokulia watu wako hao unaowaota weupe tunaishi nao uswahilini na wala hatuwashangai.Inawezekana ulikulia kijijini sana.Kama ungekulia kariakoo wala huwezi shangaa na kutukyza warabu,wahindi nk. Kwanza warabu na wahindi waliomo humu JF wanakuona punguwani.
 
Sina muda wa kubishana na watoto wadogo kama nyie.

Welcome to my IGNORE LIST
 
Mexico Sio Nchi ya Wazungu, wala Raia wake sio Wazungu...
Na hawapendi kabisa kuchanganywa na kuitwa Wazungu!
Na wala hawawapendi Wazungu coz wao sio Wazungu!
The first wave of French immigration to Mexico occurred in the 1830s, following the country's recognition by France, with the foundation of a French colony on the Coatzacoalcos River, in the state of Veracruz. In total, 668 settlers were brought from France to populate the colony.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…