Kwanini Marekani inawasaka Waislamu waliowaita ISIS na kuwaua?

battawi

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
2,712
Reaction score
2,577
Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki

Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu.

Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa.
Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho ambao walikuwa wana madai halali ya Muungano kuwa hauna maslahi na Zanzibar wame wekwa kizuizini na kuitwa Magaidi

Ukisema kuwa Waislamu hawapewi haki sawa na Wakrisrto Nchini katika ajira Unaitwa Mchochezi.

Huyu Abubakri al Baghdadi kule iraq Alianzisha Utawala wa Kigkalifa ambao uliungwa mkono na 2/3 ya wairaqi baada ya kuchoshwa na vita vya kisiasa nchini mwao.Hatimae DINIA NZIMA IMEWAELEMEA NA KUANZA KUWASAKA MMOJA MMOJA NA KUWAUA.

Ndani ya nchi yao,Marekani na Mashoga zake waitakianini mambo ya ndani ya nchi?
hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa.
Duniani leo kulikoni?

Mbona Damu za Waislamu zime fanywa kuwa Rahisi kumwagwa na halali?
 
Sababu ni:

Uhakika wa mambo ni kwamba tatizo hili alilotaja muulizaji ni la kweli. Kwa sababu utoko huu unaotoka ni mtihani unaowatokea wanawake wengi. Lakini baada ya utafiti wa kutosha sikumpata mwanachuoni yeyote anayesema kuwa hauchengui wudhuu´ isipokuwa mwanachuoni mmoja tu, naye si mwengine ni Ibn Hazm.

Hakuna mwanachuoni yeyote kabla yake aliyesema hivo ili tuweze kusema kuwa Salaf wa Ummah wamesema kuwa utoko hauchengui wudhuu.

Mimi hivi sasa nasema ya kwamba akipatikana Salaf yeyote wa Ummah huu mwenye kuonelea ya kwamba utoko huu hauchengui wudhuu´ basi maoni yake yako karibu zaidi na usawa kuliko maoni yanayosema kuwa unachengua.

Mosi ni kwa sababu ya ule uzito unaopatikana ndani yake. Pili ni kwa sababu hili ni jambo la kawaida. Sio hadathi ya kilazimika kama mwanamke anayetokwa na damu ya ugonjwa.

Bali ni jambo la kawaida kwa wanawake wengi. Kwa hivyo mkimpata Salaf yeyote wa Ummah huu mwenye kuonelea ya kwamba utoko huu hauchengui wudhuu´ basi maoni yake yako karibu zaidi na usawa. Msipopata basi si haki kwetu kutoka katika maafikiano ya Ummah.
 
Hao watu wanaodai ni waislam wanapigana a losing battle kwa kisingizio cha kumpigania mungu wao anayeitwa allah.

Na kwa imani fulani fulani kwamba wakiuliwa kwenye vita hivyo watapata malipo fulani kwa huyo allah na ndipo wanashawishika kupigana hadi hayo mauti yanawakuta.

It's a fallacious conviction driven more by spurious religious bigotry whose aftermath is not palatable and results into such deaths as the one that has claimed the life of that jihadist Al Baghdadi.
 
ISIS kama Alqaeda walitengenezwa na USA kwahiyo kifo chao kinatekelezwa na USA, siasa ya dunia ni ya kihuni sana, Osama Bin Laden na Albagdad wamekufa kwa staili tofauti, soon utasikia kundi lingine linazaliwa na kusumbua Uarabuni hafu wataliuwa Amerika ni wajanja sana.
Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki

Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu.

Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa.
Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho ambao walikuwa wana madai halali ya Muungano kuwa hauna maslahi na Zanzibar wame wekwa kizuizini na kuitwa Magaidi

Ukisema kuwa Waislamu hawapewi haki sawa na Wakrisrto Nchini katika ajira Unaitwa Mchochezi.

Huyu Abubakri al Baghdadi kule iraq Alianzisha Utawala wa Kigkalifa ambao uliungwa mkono na 2/3 ya wairaqi baada ya kuchoshwa na vita vya kisiasa nchini mwao.Hatimae DINIA NZIMA IMEWAELEMEA NA KUANZA KUWASAKA MMOJA MMOJA NA KUWAUA.

Ndani ya nchi yao,Marekani na Mashoga zake waitakianini mambo ya ndani ya nchi?
hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa.
Duniani leo kulikoni?

Mbona Damu za Waislamu zime fanywa kuwa Rahisi kumwagwa na halali?
 
ISIS kama Alqaeda walitengenezwa na USA kwahiyo kifo chao kinatekelezwa na USA, siasa ya dunia ni ya kihuni sana, Osama Bin Laden na Albagdad wamekufa kwa staili tofauti, soon utasikia kundi lingine linazaliwa na kusumbua Uarabuni hafu wataliuwa Amerika ni wajanja sana.
Basi Marekani Nouma. Anaenda kwa waislamu na kuwafundisha tena quran na hadith wajiue na wawaue Waislam wenzao. Tena huyu huyu Marekani alivyo na roho mbaya anawafundisha muingie misikitni kabla hamjawUwa waislamu wenzenu ama kabla mjajilipua mseme allah AKBAR. Na Waislam hawa wamekubali kabisa kufanya hivi.

Dah Marekani ni nouma yani sheeda
 
Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki

Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu.

Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa.
Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho ambao walikuwa wana madai halali ya Muungano kuwa hauna maslahi na Zanzibar wame wekwa kizuizini na kuitwa Magaidi

Ukisema kuwa Waislamu hawapewi haki sawa na Wakrisrto Nchini katika ajira Unaitwa Mchochezi.

Huyu Abubakri al Baghdadi kule iraq Alianzisha Utawala wa Kigkalifa ambao uliungwa mkono na 2/3 ya wairaqi baada ya kuchoshwa na vita vya kisiasa nchini mwao.Hatimae DINIA NZIMA IMEWAELEMEA NA KUANZA KUWASAKA MMOJA MMOJA NA KUWAUA.

Ndani ya nchi yao,Marekani na Mashoga zake waitakianini mambo ya ndani ya nchi?
hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa.
Duniani leo kulikoni?

Mbona Damu za Waislamu zime fanywa kuwa Rahisi kumwagwa na halali?
Walaumu sana sana tena sana Saudi Arabia, Iraq, Iran, Qatar, UAE na Syria maana hawa wote wakati wakiwaua ISIL hawakujali tofauti zao. Waliungana na rafiki zao wa Kimagharibi wakawashughulikia vilivyo hao kina Al Baghdad.

Sasa wewe Muislam umekaa hapo Mkunguni unajiona unajua sana haki za Waislam kuliko hao ambao wana vinasaba vya damu na Mtume...unachekesha
 
Walaumu sana sana tena sana Saudi Arabia, Iraq, Iran, Qatar, UAE na Syria maana hawa wote wakati wakiwaua ISIL hawakujali tofauti zao. Waungana na rafiki zao wa Kimagharibi wakawashughulikia vilivyo hao kina Al Baghdad.

Sasa wewe Muislam umekaa hapo Mkunguni unajiona unajua sana haki za Waislam kuliko hao ambao wana vinasaba vya damu na Mtume unachekesha
Ni wiki iliyopita tu Waislam wa madhehebu ya shia Afghanistan wameuawa kikatili msikitini na wasunni. Sikumsikia Mmatumbi yeyote akilaani damu ya waislamu inamwagika

Isitooshe mwakajana alshab ilipowaua wasomali 1500 had hao wenyewe waliogopa kukiri kuhusika Sikumsikia Mmatumbi yeyote akilaani
 
Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki

Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu.

Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa.
Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho ambao walikuwa wana madai halali ya Muungano kuwa hauna maslahi na Zanzibar wame wekwa kizuizini na kuitwa Magaidi

Ukisema kuwa Waislamu hawapewi haki sawa na Wakrisrto Nchini katika ajira Unaitwa Mchochezi.

Huyu Abubakri al Baghdadi kule iraq Alianzisha Utawala wa Kigkalifa ambao uliungwa mkono na 2/3 ya wairaqi baada ya kuchoshwa na vita vya kisiasa nchini mwao.Hatimae DINIA NZIMA IMEWAELEMEA NA KUANZA KUWASAKA MMOJA MMOJA NA KUWAUA.

Ndani ya nchi yao,Marekani na Mashoga zake waitakianini mambo ya ndani ya nchi?
hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa.
Duniani leo kulikoni?

Mbona Damu za Waislamu zime fanywa kuwa Rahisi kumwagwa na halali?
The enemy of Islam are Muslims themselves
 
Ni wiki iliyopita tu Waislam wa madhehebu ya shia Afghanistan wameuawa kikatili msikitini na wasunni. Sikumsikia Mmatumbi yeyote akilaani damu ya waislamu inamwagika

Isitooshe mwakajana alshab ilipowaua wasomali 1500 had hao wenyewe waliogopa kukiri kuhusika Sikumsikia Mmatumbi yeyote akilaani
Kiwango cha unafiki cha hawa jamaa ni cha level ya Uprofesa.
 
Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki

Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu.

Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa.
Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho ambao walikuwa wana madai halali ya Muungano kuwa hauna maslahi na Zanzibar wame wekwa kizuizini na kuitwa Magaidi

Ukisema kuwa Waislamu hawapewi haki sawa na Wakrisrto Nchini katika ajira Unaitwa Mchochezi.

Huyu Abubakri al Baghdadi kule iraq Alianzisha Utawala wa Kigkalifa ambao uliungwa mkono na 2/3 ya wairaqi baada ya kuchoshwa na vita vya kisiasa nchini mwao.Hatimae DINIA NZIMA IMEWAELEMEA NA KUANZA KUWASAKA MMOJA MMOJA NA KUWAUA.

Ndani ya nchi yao,Marekani na Mashoga zake waitakianini mambo ya ndani ya nchi?
hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa.
Duniani leo kulikoni?

Mbona Damu za Waislamu zime fanywa kuwa Rahisi kumwagwa na halali?
Akhy hizi Adha zoote wanazopitia waislaam ni Machumo ya Mikono yetu.
Tumeiacha njia ngoja tuadabishwe.

ABOUBAKR al BAGHDAAD kama wamemuua basi anastahili juu ya alichokipata.
Uamsho wanatakiwa waombe msamaha, walikosea huwezi kupambana na Watawala hata siku moja.
Wangepita Mapito aliyopita Mtume Swalallah alayh wasalam yasingewafika hayo ya kuwafika.
Mtume swalallah alayh wasalam alianza mapambano baada ya Hijra ndo akarejea kuikomboa maka , wakati tayar na Yeye ana nguvu, laakin kipindi chote alichokuwa Makah hakuwahi kuwapinga Watawala wa Makah ispokuwa katika yake ambayo yalikuwa kinyume na dini.
Sasa Uamsho hawakutakiwa kuanzisha vuguvugu ikiwa wao si Viongozi wa nchi na hawana Nguvu.
 
Uamsho waombe msamaha kwa nan, masheikh wanafanyiwa liwati majera halafu ww wasema waombe msamaha waombe kwa nani wadhani ni wajinga kiasi hicho, then hiyo hadithi yako ya kua waislam hawatakiwi kupigana hadi wapate nguvu sijui umeitoa wapi!!hv wakijua kisa cha utheymin RahimahuLlaah na kisa cha imam shafii mbona hawa walipigana na tawala je walikua majahilia!

Na pia ujue kua aya zilizomruhusu mtume (s.a.w) kupigana nyingi zilishuka madina na sio kwamba mtume hakua na nguvu laah hakupewa tu amri ya kupigana, pia kaa ukijua na kutambua kua linapokuja swala la imaan waislam hawapigani kwa wingi wao au ubora wa silaha wanapigana kwa kumtegemea allah pekee yake na hiyo ndio imaan ya kwel katika ushindi.
Uamsho waombe msamaha kwa nan, masheikh wanafanyiwa liwati majera halafu ww wasema waombe msamaha waombe kwa nani wadhani ni wajinga kiasi hicho, then hiyo hadithi yako ya kua waislam hawatakiwi kupigana hadi wapate nguvu sijui umeitoa wapi!!hv wakijua kisa cha utheymin RahimahuLlaah na kisa cha imam shafii mbona hawa walipigana na tawala je walikua majahilia!
 
Sasa Uamsho hawakutakiwa kuanzisha vuguvugu ikiwa wao si Viongozi wa nchi na hawana Nguvu
lakini Muamsho wao hawakuwa wakidai Utawala wa Kiislamu Zanzibar,bali walikuwa wakidai haki za kiraia kwa niaba ya wazanzibar na walikuwa wakiwashawishi viongozi wa nchi wapeleke madai yao.
 
Anyway huenda nimesahau na naomba radhi kwa hilo .ila kumbukumbu zangu nikuwa Walitaka muungano uvunjwe. Hebu tufuatilie
 
Back
Top Bottom