Kwanini Marekani wanaihofia sana kampuni ya HUAWEI?

Marekani kwa sasa kwenye free and fair trade hayupo kabisa
So far Marekani imeshafanya breaching ya sheria na kanuni nyingi sana W.T.O

Inaenda kinyume kabisa na makubaliano ya member countries wa W.T.O

China ikiwa member country W.T.O imeshasema sana kuhusu hilo kwa sasa imeamua ni kwenda naye jino kwa jino. Hii ndio lugha wanaipenda Marekani

W.T.O ni toothless organisation
​
 

Mafahari wawili...
 
How would they compasate such a potential loss?
Trump ni mwendawazimu, Nvidia wenyewe wanaonekana hawaungi mkono ila kwa kuwa ndio tamko la utawala wa Trump hawana ujanja. Labda serikali itawapa ruzuku kufidia​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…