Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madamu ya Siku zake yaani Simba day.Zamadamu kwa maana Simba ilishafanya sana,yani kawaida sio ajabu.[emoji23][emoji28]
Simba hakuna juha,wewe ni Utokolo tuMimi ni shabiki lia lia wa SIMBA ila napenda kuangalia izi mechi za yanga kutokana na ili PIRA GAMOND wanalocheza kiukwel WANANCHI wanapiga mpira mpaka kuna muda nahisi kuwa wametudanganya hii sio YANGA labda n BAYERN MUNICH
Ila kilichoniuma ni baada ya YANGA kushinda goli 5 bila zidi ya JKT ilipo fika dakika ya 89 niliona Wachezaji wa yanga kama wamelidhika na ushindi wakawa wanapiga pasi mithir ya barcelona ile ya wakina iniesta xav bosquet mess zilipigwa pasi nyingi sana ad roho ikaniuma , lakini cha ajabu mashabiki wa YANGA walikuwa wanakasirika kwamba wanataka team yao ikashambulie ipate magol zaid
Ndugu zangu wananchi huu ni mpira sio vita jamn mbona mnaleta mambo serious sana inabid muwe na uruma ata kidogo
Mshamfunga mtu goli 5 mnatake tena waendelee kushambuliwa yule ni mTanzania mwenzenu tena ni Jeshi lina walinda muwe na uruma ata kidogo
Alafu mmwambie yule mchezaji wenu namba 7 sijui mnamuita MAX mmwambie tushamjua yeye ni MBAPE avue kinyago
Cha mwisho :- Ndugu zangu MAKOLO tutengeneze timu awa jamaa wapo serious sana wamejipanga kuaibisha watu View attachment 2732807
Kwani huwezi kuisifia yanga ukiwa mwanayanga hadi ujiite nawe kolo.Mimi ni shabiki lia lia wa SIMBA ila napenda kuangalia izi mechi za yanga kutokana na ili PIRA GAMOND wanalocheza kiukwel WANANCHI wanapiga mpira mpaka kuna muda nahisi kuwa wametudanganya hii sio YANGA labda n BAYERN MUNICH
Ila kilichoniuma ni baada ya YANGA kushinda goli 5 bila zidi ya JKT ilipo fika dakika ya 89 niliona Wachezaji wa yanga kama wamelidhika na ushindi wakawa wanapiga pasi mithir ya barcelona ile ya wakina iniesta xav bosquet mess zilipigwa pasi nyingi sana ad roho ikaniuma , lakini cha ajabu mashabiki wa YANGA walikuwa wanakasirika kwamba wanataka team yao ikashambulie ipate magol zaid
Ndugu zangu wananchi huu ni mpira sio vita jamn mbona mnaleta mambo serious sana inabid muwe na uruma ata kidogo
Mshamfunga mtu goli 5 mnatake tena waendelee kushambuliwa yule ni mTanzania mwenzenu tena ni Jeshi lina walinda muwe na uruma ata kidogo
Alafu mmwambie yule mchezaji wenu namba 7 sijui mnamuita MAX mmwambie tushamjua yeye ni MBAPE avue kinyago
Cha mwisho :- Ndugu zangu MAKOLO tutengeneze timu awa jamaa wapo serious sana wamejipanga kuaibisha watu View attachment 2732807
Kwani mlicheza na simba?.na mnabahati hakuingia pakome