Kwanini mashabiki wa Yanga wana roho mbaya?

Simba hakuna juha,wewe ni Utokolo tu
 
Pira GAMONDI ni hatari zaidi kuliko hata Pira Nabi! Yanga Wana sifa eti Kila mchezaji ni Mayele, Kila mchezaji anafunga!

Hapa Sioni Tena Makolo Papatu papatu fc wakibeba kombe lolote bongo kwa miaka miwili mingine , angalau mbumbumbu fc wameambulia Ile mbao kutokana na uhuni wa kipa wao Ally Salim kuruka kabla penati za Yanga hazijapigwa ( Ngao).
 
Kwani huwezi kuisifia yanga ukiwa mwanayanga hadi ujiite nawe kolo.
Wewe ni utopolo mshamba simba haijabahatika kuwa na wajinga sampuli yako.
Huwezi kujua uwezo halisi wa timu inapokutana na timu zenye uwezo mdogo.
Simba ni namba 7 ina African ranking ipo port 2 walio chini yake wote ni vibonde sasa endeleeni kukariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…