Kwanini mashabiki wa Yanga wana roho mbaya?

Kwanini mashabiki wa Yanga wana roho mbaya?

Jackson996

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2019
Posts
773
Reaction score
1,355
Mimi ni shabiki lia lia wa SIMBA ila napenda kuangalia izi mechi za yanga kutokana na ili PIRA GAMOND wanalocheza kiukwel WANANCHI wanapiga mpira mpaka kuna muda nahisi kuwa wametudanganya hii sio YANGA labda n BAYERN MUNICH

Ila kilichoniuma ni baada ya YANGA kushinda goli 5 bila zidi ya JKT ilipo fika dakika ya 89 niliona Wachezaji wa yanga kama wamelidhika na ushindi wakawa wanapiga pasi mithir ya barcelona ile ya wakina iniesta xav bosquet mess zilipigwa pasi nyingi sana ad roho ikaniuma , lakini cha ajabu mashabiki wa YANGA walikuwa wanakasirika kwamba wanataka team yao ikashambulie ipate magol zaid

Ndugu zangu wananchi huu ni mpira sio vita jamn mbona mnaleta mambo serious sana inabid muwe na uruma ata kidogo

Mshamfunga mtu goli 5 mnatake tena waendelee kushambuliwa yule ni mTanzania mwenzenu tena ni Jeshi lina walinda muwe na uruma ata kidogo

Alafu mmwambie yule mchezaji wenu namba 7 sijui mnamuita MAX mmwambie tushamjua yeye ni MBAPE avue kinyago

Cha mwisho :- Ndugu zangu MAKOLO tutengeneze timu awa jamaa wapo serious sana wamejipanga kuaibisha watu
IMG_5169.jpg
 
Mimi ni shabiki lia lia wa SIMBA ila napenda kuanga lia izi mechi za yanga kuyokana na ili PIRA GAMOND wanalocheza kiukwel WANANCHI wanapiga mpira mpaka kuna muda nahisi kuwa wametudanganya hii sio YANGA labda n BAYERN MUNICH

Ila kilichonouma ni baada ya YANGA kushinda goli 5 bila zidi ya JKT ilipo fika dakika ya 89 niliona Wachezaji wa yanga kama wamelidhika na ushindi wakawa wanapiga basi mithir ya barcelona ile ya wakina iniesta xav bosquet mess zilipigwa pasi nyingi sana ad roho ikaniuma , lakini cha ajabu mashabiki wa YANGA walikuwa wanakasirika kwamba wanataka team yao ikashambulie ipate magol zaid

Ndugu zangu wananchi huu ni mpira sio vita jamn mbona mnaleta mambo serious sana inabid muwe na uruma ata kidogo

Mshamfunga mtu goli 5 mnatake tena waendelee kushambuliwa yule ni mTanzania mwenzenu tena ni Jeshi lina walinda muwe na uruma ata kidogo

Alafu mmwambie yule mchezaji wenu namba 7 sijui mnamuita MAX mmwambie tushamjua yeye ni MBAPE avue kinyago

Cha mwisho :- Ndugu zangu MAKOLO tutengeneze timu awa jamaa wapo serious sana wamejipanga kuaibisha watu View attachment 2732807
 
Hizo 5g mbona zikogo kibao tu labda umesahau tu,siku mkimpa mtu 7 heaven ntawahekenya saluti
 
Simba alikula viwili.. bhati nzuri tulitakiw tuchomoe ili wajambe. Mlikuwa mnakufa hamsa swalawaat
Mechi ya mwisho tumewakwapua ngao ya hisani na Daimondi wenu akiwepo,mechi ya nyuma Kibu Denga alitaka kumvunja mikono Diara mtoto wa watu kaja bongo kusaka maisha Kibu anataka kumpa ulemavu.
 
Mtindio wa ubongo pia ni tatizo
Serikali ilitilie maanani
 
Back
Top Bottom