Msambazaji wangu wa hizo mashine ameweka sheria kwamba tatizo lolote likitokea na ukaipeleka kwake bei ni 59,000 hata kama ni kupuliza kutoa vumbi na eti ina seal hairuhusiwi kuifungua ni kosa kubwa unaloweza kutoleshwa faini mamilioni mengine.Kwanini isiwe kama vifaa vyengine vya kielektronic mtu akiwa mtundu anafanya mwenyewe.Wao walinde mfumo wao tu usiingiliwe lakini habari za kufungua mashine na kuondoa vumbi au kubadili kitu kilichoharibika isiwe kazi ya TRA wala msambazaji.Kama hizo mashine ni kitu cha maana sana kwanini wasibadili tu bila pesa na wao wakachukua mashine yao,