Msambazaji wangu wa hizo mashine ameweka sheria kwamba tatizo lolote likitokea na ukaipeleka kwake bei ni 59,000 hata kama ni kupuliza kutoa vumbi na eti ina seal hairuhusiwi kuifungua ni kosa kubwa unaloweza kutoleshwa faini mamilioni mengine.Kwanini isiwe kama vifaa vyengine vya kielektronic mtu akiwa mtundu anafanya mwenyewe.Wao walinde mfumo wao tu usiingiliwe lakini habari za kufungua mashine na kuondoa vumbi au kubadili kitu kilichoharibika isiwe kazi ya TRA wala msambazaji.Kama hizo mashine ni kitu cha maana sana kwanini wasibadili tu bila pesa na wao wakachukua mashine yao,Kiukweli mashine EFD ni moja ya miradi ya kinyonyaji tulionao nchini spare zake ghali mno
Ndio maana nimeuliza. Mimi ninayo tangu 2015 na natoa risiti kila ninachouza sijawahi kuona hio issue ya mashine kujaa.Kiukweli mauzo yangu si makubwa kwa hivyo risiti pia zitoi nyingi pamoja na hivyo imejaa miaka 3 haijaisha.Nashangaa wale wauzaji wakubwa wa jumla huwa wananunua mashine ngapi kwa mwaka.Lakini wao sio mimi haiwaumi sana kwa vile fehda zinaingia za kutosha
Msambazaji wangu ndio muhuni zaidi. Yeye kila mwaka analazimisha ukaifanyie service kwa 150,000/- mimi nikawa siendi sasa hivi wameiwekea code ikifika mwaka inadai service usipoenda haifanyi kazi. Hio service ni wizi tu maana hamna jipya.Msambazaji wangu wa hizo mashine ameweka sheria kwamba tatizo lolote likitokea na ukaipeleka kwake bei ni 59,000 hata kama ni kupuliza kutoa vumbi na eti ina seal hairuhusiwi kuifungua ni kosa kubwa unaloweza kutoleshwa faini mamilioni mengine.Kwanini isiwe kama vifaa vyengine vya kielektronic mtu akiwa mtundu anafanya mwenyewe.Wao walinde mfumo wao tu usiingiliwe lakini habari za kufungua mashine na kuondoa vumbi au kubadili kitu kilichoharibika isiwe kazi ya TRA wala msambazaji.Kama hizo mashine ni kitu cha maana sana kwanini wasibadili tu bila pesa na wao wakachukua mashine yao,
Hebu tuwekee wazi mashine yako ni kampuni gani huenda tukafaidika kujua nani ni bomu zaidi. Lakini pia hii ni miaka mitano tu, je kama ikiharibika leo umeridhia kulipa tena takriban laki 7 mpaka 8 kununua nyengine au ungependa idumu zaidi na hizo pesa ukala na wanao.Ndio maana nimeuliza. Mimi ninayo tangu 2015 na natoa risiti kila ninachouza sijawahi kuona hio issue ya mashine kujaa.
Kwa kweli kwenye hizi mashine ni majanga matupu ni utapeli wa hali ya juuMsambazaji wangu wa hizo mashine ameweka sheria kwamba tatizo lolote likitokea na ukaipeleka kwake bei ni 59,000 hata kama ni kupuliza kutoa vumbi na eti ina seal hairuhusiwi kuifungua ni kosa kubwa unaloweza kutoleshwa faini mamilioni mengine.Kwanini isiwe kama vifaa vyengine vya kielektronic mtut akiwa mtu anafanya mwenyewe.Wao walinde mfumo wao tu usiingiliwe lakini habari za kufungua mashine na kuondoa vumbi au kubadili kitu kilichoharibika isiwe kazi ya TRA wala msambazaji.Kama hizo mashine ni kitu cha maana sana kwanini wasibadili tu bila pesa na wao wakachukua mashine yao,
Kwanini tapeli kama huyo ameachwa afanye unyonyaji kwa raia na aikoseshe serikali mapato kwa kuzuia mauzo.Si akamatwe yeye kwanini waniadhibu mimi maskini ya Mungu.Msambazaji wangu ndio muhuni zaidi. Yeye kila mwaka analazimisha ukaifanyie service kwa 150,000/- mimi nikawa siendi sasa hivi wameiwekea code ikifika mwaka inadai service usipoenda haifanyi kazi. Hio service ni wizi tu maana hamna jipya.
Kwanini tapeli kama huyo ameachwa afanye unyonyaji kwa raia na aikoseshe serikali mapato kwa kuzuia mauzo.Si akamatwe yeye kwanini waniadhibu mimi maskini ya Mungu.Msambazaji wangu ndio muhuni zaidi. Yeye kila mwaka analazimisha ukaifanyie service kwa 150,000/- mimi nikawa siendi sasa hivi wameiwekea code ikifika mwaka inadai service usipoenda haifanyi kazi. Hio service ni wizi tu maana hamna jipya.
Siwezi kutaja kampuni. Miaka mitano tu kwani kujaa huko ni matumizi au umri wa mashine? Yako iliojaa ya lini? Ishawahi kuharibika wakanitengenezea.Hebu tuwekee wazi mashine yako ni kampuni gani huenda tukafaidika kujua nani ni bomu zaidi,.Lakini pia hii ni miaka mitano tu,Jee kama ikiharibika leo umeridhia kulipa tena takriban laki 7 mpaka 8 kununua nyengine au ungependa idumu zaidi na hizo pesa ukala na wanao.
Nina mpango wa kwenda kuwaripoti TRA. Niwaulize TRA kama wanajua kuwa huyu agent anazuia mashine isifanye kazi ili apate 150,000/-Kwanini tapeli kama huyo ameacha afanye unyonyaji kwa raia na aikoseshe serikali mapato kwa kuzuia mauzo.Si akamatwe yeye kwanini waniadhibu mimi maskini ya Mungu.
Walinitengenezea bure, hio service charge(150,000) kwa mwaka ndio ina-cover hii. Lakini tangu niichukue imeharibika mara moja tu.Bure au kwa pesa.
Mimi ya kwangu vituko vya kuharibika ni mara nyingi katika hiyo miaka 3 ama kujaa ndio safari ya mwanzo. Siku moja walipita TRA wakakuta siandiki risiti eti wakanifokea mimi. Funga biashara yako mpaka uwe na mashine!Bure au kwa pesa.
Ushawahi kwenda TRA kulipa kodi ukawaambia nalipa pungufu kwasababu nimenunua EFD ? Mfano unadaiwa 2m ukawaambia nalipa 1.3m kwasababu 700,000 nimenunua EFD?Ukinunua si wanakukata kwrnye Kodi? Shida iko wapi? Au hulipi Kodi?
Yaani EFD haina tofauti na kumiliki BMWKiukweli mashine EFD ni moja ya miradi ya kinyonyaji tulionao nchini spare zake ghali mno
Hiyo ni kazi ya wajasiriamali wa masuala ya IT. Watu wa IT waandae mfumo, waupeleke kwa jumuia ya wafanyabiashara, hao ndo wataupeleka TRA.Ndio maana nilitoa wazo hili:
Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?
Ndio Kaka huwa nakatwa.Ushawahi kwenda TRA kulipa kodi ukawaambia nalipa pungufu kwasababu nimenunua EFD? Mfano unadaiwa 2M ukawaambia nalipa 1.3M kwasababu 700,000 nimenunua EFD?
Yawezekana wewe uko huko huko ndio maana unajua njia za kupitia kwa sisi wengine urasimu unakufanya usamehe tu. Na ukikazia kudai ndio unawakaribisha wakufanyie visa vya kukudai zaidi na kufukua mahesabu ya zamani.Ndio Kaka.huwa nakatwa
Nilinunua mashine sikumaliza mwaka nikabadili biashara nikaambiwa imekula kwangu lazima kununua nyingine. Nikapata majibu kwanini wengi hukwepa kulipa kodi.ukifunga biashara EFD mashine haiuziki
unabaki nayo tu kama kumbukumbu ukitaraji kuna siku tra watarudisha gharama na hasara zako
ingefaa efd machine iwe na mfumo wa redio FM na simu na kalkuleta kupunguzia gharama