Kwanini maskini ni wengi kuliko matajiri?

Tangu mwanadamu agundue kitu kinaitwa currency ndipo gap ya distribution ya wealth ikawa pana sana.

Ndio maana huwa nashangaa matapeli wanaojiita wakomonisti ambao wanadanganya watu kuwa style yao ya uongozi ni ya kutengeneza even distribution ya mali na mafanikio, ilimshinda nyerree, maana communism ni trap ya socialist party ku control na kujichukulia fedha bila ya kupingwa maana hakuna demokrasia ya kuulizwa na kuhojiwa, ndicho unachikiona leo bongo land.

Na as long as currency itasimama kama means ya commerce umasikini hautakaa kuisha.
 
Interesting
 
Kama ukitumia akili , watu dunia wanafuata mkumbo, inawezekana hili kundi la watu bil 8 ,basi wanaongoza na watu hawafiki hata laki moja ...Ni mifumo tu , mbaya ukienda kinyume na hiyo mifumo ,utaambiwa haujastaarabika mara uko zama za mawe.

Kuna kasumba ya AI imeanza , ipo siku kila nchi itatumia na hpo ndipo kazi zitapungua kwa sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…