Kwanini maskini wengi wanaamini kuwa utulivu na unyenyekevu ni sifa kuu ya Kiongozi?

Kwanini maskini wengi wanaamini kuwa utulivu na unyenyekevu ni sifa kuu ya Kiongozi?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi.

Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji watu watulivu na wanyenyekevu?
 
Hii ni kwasababu masikini wengi ni watulivu na wanyenyekevu. Ndio maana hata slogan ya wanyonge ilipokelewa na walio wengi maana ni masikini.
 
Mkuu una hoja nzuri na fikirishi,ila kama ungeipanga vizuri ungeeleweka zaidi.Uelewa wangu ni tofauti na mwingine ninaweza kuelewa jambo kwa mtazamo wangu,mwingine asielewe kabisa.Hivyo ni muhimu kupanga hoja kwa lugha rahisi wengi wapate kuelewa vinginevyo labda jambo hilo limekusudiwa watu wachache
 
Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi.

Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji watu watulivu na wanyenyekevu
Huwezi amini sijakuelewa

Jamaa anachanganya madesa. Hajui maana ya unyenyekevu au utulivu. Anadhani kunyeyekea ni sifa ya kimaskini
Jamaa anachanganya madesa. Hajui maana ya unyenyekevu au utulivu. Anadhani kunyeyekea ni sifa ya umaskini.
 
Hata matajiri ili wawe viongozi ni lazima wawe watulivu na wanyenyekevu.
Kuna tofauti kati ya unyenyekevu na kujipendekeza ingawa kuna sehemu vinaingiliana.
Sasa sjui logic yako ni ipi maskini /tajiri /unyenyekevu /utulivu V/s Uongozi?
 
Izo ni sifa miongoni mwasifa za kiongozi,kiburi na majivuno ni moja ya sababu za kupigwa chini Trump kwenye nchi yenye raia wenye kujitambua.
 
Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi.

Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji watu watulivu na wanyenyekevu?

Ni heri hayo lakini bado Tanzania ni taifa lenye amani kulinganisha na mataifa mengine
 
Izo ni sifa miongoni mwasifa za kiongozi,kiburi na majivuno ni moja ya sababu za kupigwa chini Trump kwenye nchi yenye raia wenye kujitambua.
Trump alipewa tu sababu alisimama na bi clinton zaidi asingepata.
 
Back
Top Bottom