kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Jamaa anachanganya madesa. Hajui maana ya unyenyekevu au utulivu. Anadhani kunyeyekea ni sifa ya umaskini.Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi.
Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji watu watulivu na wanyenyekevu
Huwezi amini sijakuelewa
Jamaa anachanganya madesa. Hajui maana ya unyenyekevu au utulivu. Anadhani kunyeyekea ni sifa ya kimaskini
Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi.
Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji watu watulivu na wanyenyekevu?
Ukiwa masikini huwezi kuwa jeuri.Hii ni kwasababu masikini wengi ni watulivu na wanyenyekevu. Ndio maana hata slogan ya wanyonge ilipokelewa na walio wengi maana ni masikini.
Trump alipewa tu sababu alisimama na bi clinton zaidi asingepata.Izo ni sifa miongoni mwasifa za kiongozi,kiburi na majivuno ni moja ya sababu za kupigwa chini Trump kwenye nchi yenye raia wenye kujitambua.