mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Sabbath shalom!
Sifa/tabia za matajiri wengi toka nakua nimegundua ni hizi;
1. Wengi huwa hawakai kwenye events mpaka mwisho, wanaweza wakakaa nusu ya muda then wakaondoka kabla tukio halijaisha. Pia huwa hawali hovyo kwenye events. Si ajabu kukuta kaondoka kabla ya muda wa chakula kufika au hata wakati wa chakula.
2. Wengi ni introverts na wengi mahusiano yao hufanya siri mno. Utateseka sana kuyajua mahusiano ya matajiri wengi. Ni ngumu kuwajua wanaotoka nao na ni ngumu pia wao kuwa post wake zao mitandaoni.
3. Wengi hawapendi umbea na majungu, hawapendi kushoboka wala kushobokewa.
4. Wengi ni watu wastaarabu wasipoudhiwa. Ukiwavaa ndio hapo utakapoona simba mwenye hasira huyu hapa. Ni aggresive mno ukiwazingua. Uki deal na tajiri hata kama ni mpole take care, usijichanganye.
5. They dont care!!!
Kama sifa za hapo juu walivyonazo wachache, basi matajiri pia ni wachache. Na LAZIMA iwe hivyo.
Wawe wengi ili iweje?!
Malofa ndiyo wengi!
No offence intended, nimeongea kwa experience kabisa.