Kwanini matajiri wachache na wanazidi kuwa wachache?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Sabbath shalom!

Sifa/tabia za matajiri wengi toka nakua nimegundua ni hizi;

1. Wengi huwa hawakai kwenye events mpaka mwisho, wanaweza wakakaa nusu ya muda then wakaondoka kabla tukio halijaisha. Pia huwa hawali hovyo kwenye events. Si ajabu kukuta kaondoka kabla ya muda wa chakula kufika au hata wakati wa chakula.

2. Wengi ni introverts na wengi mahusiano yao hufanya siri mno. Utateseka sana kuyajua mahusiano ya matajiri wengi. Ni ngumu kuwajua wanaotoka nao na ni ngumu pia wao kuwa post wake zao mitandaoni.

3. Wengi hawapendi umbea na majungu, hawapendi kushoboka wala kushobokewa.

4. Wengi ni watu wastaarabu wasipoudhiwa. Ukiwavaa ndio hapo utakapoona simba mwenye hasira huyu hapa. Ni aggresive mno ukiwazingua. Uki deal na tajiri hata kama ni mpole take care, usijichanganye.

5. They dont care!!!

Kama sifa za hapo juu walivyonazo wachache, basi matajiri pia ni wachache. Na LAZIMA iwe hivyo.

Wawe wengi ili iweje?!
Malofa ndiyo wengi!

No offence intended, nimeongea kwa experience kabisa.
 
Hiyo ninayo mpaka kupitiliza,

Kwanza hata kuniona kwenye event yenyewe huwa ni Mbinde.. Iwe nakuheshimu kweli kweli, ndiyo nitachangia na kuhudhuria event yako, ila sijawahi kaa mpaka shughuli imeisha..
Kama unayo basi ni suala la muda, utatoboa vibaya mno.
Maji hufuata mkondo
 
Ila kwa sifa hizo mtu unatakiwa uwe tajiri haswa😂
 
Hizo sifa zote ninazo bado kuwa tajiri tu
FB_IMG_1662011319645.jpg
 
Sabbath shalom!

Sifa/tabia za matajiri wengi toka nakua nimegundua ni hizi;

1. Wengi huwa hawakai kwenye events mpaka mwisho, wanaweza wakakaa nusu ya muda then wakaondoka kabla tukio halijaisha. Pia huwa hawali hovyo kwenye events. Si ajabu kukuta kaondoka kabla ya muda wa chakula kufika au hata wakati wa chakula.

2. Wengi ni introverts na wengi mahusiano yao hufanya siri mno. Utateseka sana kuyajua mahusiano ya matajiri wengi. Ni ngumu kuwajua wanaotoka nao na ni ngumu pia wao kuwa post wake zao mitandaoni.

3. Wengi hawapendi umbea na majungu, hawapendi kushoboka wala kushobokewa.

4. Wengi ni watu wastaarabu wasipoudhiwa. Ukiwavaa ndio hapo utakapoona simba mwenye hasira huyu hapa. Ni aggresive mno ukiwazingua. Uki deal na tajiri hata kama ni mpole take care, usijichanganye.

5. They dont care!!!

Kama sifa za hapo juu walivyonazo wachache, basi matajiri pia ni wachache. Na LAZIMA iwe hivyo.

Wawe wengi ili iweje?!
Malofa ndiyo wengi!

No offence intended, nimeongea kwa experience kabisa.
Upo sahihi ofsa mi nadhan muda ni mali
 
Back
Top Bottom