ukifika tinde kuna waarabu hadi fundi viatu huko ndanindani.Hawa wote ni waarabu wamejivika uraia wa Tz. Mtoe Mengi waliobaki waarabu. Huwezi jilinganisha na akina asas
kwa nini hakuna ngozi nyeupe za kikristo tajiri tanzania.Hizo ngozi nyeupe ila ukilinganisha ngozi nyeusi wasalio ijumaa wamechoka sana
Inabidi uongezee hii changamoto.Tukubali waislam wametokana na waarabu. watu ambao katka list ya utajiri duniani hawapo sana.
Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko.
Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni waislam kuliko wakristo?
Mifano hai.
1: Matajiri 10 wakuu nchini Mkristo alikuwa ni Hayati Mengi tu 2019 Tisa wote ni waislam.
2: Muislam mmoja anaweza kujenga nyumba ya ibada peke yake ila wakristo kutokea ulaya watachangishana hata kama kunabilionea na yeye atatoa kamchango hata kama anauwezo wa kujenga akakabidhi ufunguo.
3: Ukiangalia siku za sikukuu za waislam Misaada hutolewa ya kufa mtu kulinganisha na sisi wakristo kusaidia wahitaji.
Wakuu tunafeli wapi?
Nimepata wazo hili nilipokuwa nikijilimia kishamba changu huku mtaa flani jijini dsm, nikasema haiwezekani ngoja magreat thonkers tusaidiane kutafakari nini tatizo.
Kwa nini hao wakatoliki wasiwe matajiri wa kutupwa.Wakiristo wameingizwa serikalini kimfumo wa kanisa katoliki ,waislamu wamenyimwa elimu lakini wapigania uhuru wa nchi kwenye historia ni waislamu kanisa likateka na kuweka wanaomtaka kunusuru mfumo wao Waislamu hawakawa hawana jinsi na kuingia kwenye biashara. Mafisadi wakubwa na wanaosababisha umasikini nchi hii ni waendesha serikali
tusibaguane mkuu.Cha kushangaza kwenye list yako hakuna mtanzania mweusi wa dini uliyoizungumzia..
Kuna watu walikuwa na vyeo na bado wamekufa masikini, CHEO SIO KIPIMO CHA UTAJIRI, hoja yako ni dhaifu mnoTunajua hayo ndio maana tumeanza kutengeneza matajiri wa kisukuma.
Tumeanza na kuwapa uwaziri, ukuu wa majeshi, mikoa, ubunge wa kuteuliwa na ubalozi
Hawa wana connection na ndg zao waliopo UAE. Ni kama ilivyo kanisa katoliki lina connection kubwa sana na makanisa yaliyopo ulaya. Sister anaweza kwenda kusali kwao German kigangoni sadaka ya pili akasimama Na kikapu sadaka watakayomchangia hapo akija huku anajenga kituo cha afya. Mfano huo unafanya Kazi kwa hao wenzetu. Kuprove ynachokisema ww leta list ya matajiri 10 wauslamu weusi kama sisi uweke na ya wakristoukifika tinde kuna waarabu hadi fundi viatu huko ndanindani.
Nadhani uarabu wao sioni kama ni sababu, maana kuna waarabu wengi wanashida tu.
Kwa nini Wakristo mfano wa Bukoba huko ambako elimu ilifika siku nyingi wasiwazidi hao waarabu. Maana sisi tunadirct connection na Ulaya kwa matajiri na mabeberu wao ni middle east tu ambako wengi ni choka mbaya vilevile
mkuu nimekupata kwa uzuri.Kifupi shule imewachelewesha sana wakristo wengi kutajirika,iliwapotezea sana muda kuutafuta ustaarabu,na kipata cha kati,na si maximum profit,kipato cha kati kwa maana ya kuwa mtumwa wa ajira,so utafutaji wako na ustaarabu uliopewa unakufanya kuwa limited with your income,simple answers as that!
Kwa nini Waislam wawe na connection na matajiri wa UAE,Hawa wana connection na ndg zao waliopo UAE. Ni kama ilivyo kanisa katoliki lina connection kubwa sana na makanisa yaliyopo ulaya. Sister anaweza kwenda kusali kwao German kigangoni sadaka ya pili akasimama Na kikapu sadaka watakayomchangia hapo akija huku anajenga kituo cha afya. Mfano huo unafanya Kazi kwa hao wenzetu. Kuprove ynachokisema ww leta list ya matajiri 10 wauslamu weusi kama sisi uweke na ya wakristo
labda nature sijuiKwa nini wazungu ambao walikuwa wakristo wengi ambao hiyo biashars ilikuwa yao hawakuhakikisha wafuasi wao wanatajirikia kuliko madalali wa hiyo trade (Waarabu) ambao sasa hawashikiki
umekuja vizuri mkuu.Unamiss point hapa
Inategemea reference yako unafanya kutokea wapi.
Angalia historia ya kibiashara na uwekezaji tangu hapo zamani. Utaona hao unawaita waislam walikuwa wana settle sana na utajiri wao walikuwa wakiwekeza huku, lakin unaowaon ni wakristu walikuw wanapeleka kwao. Walikuwa hawawekezi huku.
Ukienda nchi ambazo asilimia kubwa ya uwekezaji ilifanywa na wazunguu utasikia wao wakija na maswali kinyume na ya kwako.
So, jibu hapo ni historia
Una uhakika na unacho kisema?ila pia usisahau kujiuliza, kwanini watanzania weusi wenye kipato cha kati(middle income tanzanians) wengi wao ni wakristo na wa kipato cha chini wengi wao ni waislamu.
haihitaji tafiti za kisomi kulijua hilo.
ahahaha dah!!! UmeelewekaHizo ngozi nyeupe ila ukilinganisha ngozi nyeusi wasalio ijumaa wamechoka sana
Yaani hao ukifuatilia ukoo wao utagundua babu tu ndo alikuja na alizikwa tz nyuma ya babu wameishi UAE kwa hiyo ndg zao wengi wapo huko tofauti na wwKwa nini Waislam wawe na connection na matajiri wa UAE,
wakati Wakristo hawana Connection na wazungu wakristo walioko Ulaya na US.
wenda weusi tukawepo, lkn kwa nini tusiwe na connection na hao mabilionea wa dunia wa ulaya wakristo wenzetu tukachafua hiyo list na watu weusi wenye maconnection na madon wa ulaya mkuu.
huoni gap hapo