Kwanini matajiri wengi wakubwa Tanzania ni Waislamu na sio Wakristo ambao asili yao ni kutoka kwa matajiri wa dunia?

Kwanini matajiri wengi wakubwa Tanzania ni Waislamu na sio Wakristo ambao asili yao ni kutoka kwa matajiri wa dunia?

Status
Not open for further replies.
Hizo ngozi nyeupe ila ukilinganisha ngozi nyeusi wasalio ijumaa wamechoka sana
 
Wakiristo wameingizwa serikalini kimfumo wa kanisa katoliki ,waislamu wamenyimwa elimu lakini wapigania uhuru wa nchi kwenye historia ni waislamu kanisa likateka na kuweka wanaomtaka kunusuru mfumo wao Waislamu hawakawa hawana jinsi na kuingia kwenye biashara. Mafisadi wakubwa na wanaosababisha umasikini nchi hii ni waendesha serikali
 
Hawa wote ni waarabu wamejivika uraia wa Tz. Mtoe Mengi waliobaki waarabu. Huwezi jilinganisha na akina asas
ukifika tinde kuna waarabu hadi fundi viatu huko ndanindani.
Nadhani uarabu wao sioni kama ni sababu, maana kuna waarabu wengi wanashida tu.

Kwa nini Wakristo mfano wa Bukoba huko ambako elimu ilifika siku nyingi wasiwazidi hao waarabu. Maana sisi tunadirct connection na Ulaya kwa matajiri na mabeberu wao ni middle east tu ambako wengi ni choka mbaya vilevile
 
Hizo ngozi nyeupe ila ukilinganisha ngozi nyeusi wasalio ijumaa wamechoka sana
kwa nini hakuna ngozi nyeupe za kikristo tajiri tanzania.
maana naamini wazungu, na machotara nao wapo japo sio wengi
 
Tukubali waislam wametokana na waarabu. watu ambao katka list ya utajiri duniani hawapo sana.

Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko.

Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni waislam kuliko wakristo?

Mifano hai.
1: Matajiri 10 wakuu nchini Mkristo alikuwa ni Hayati Mengi tu 2019 Tisa wote ni waislam.

2: Muislam mmoja anaweza kujenga nyumba ya ibada peke yake ila wakristo kutokea ulaya watachangishana hata kama kunabilionea na yeye atatoa kamchango hata kama anauwezo wa kujenga akakabidhi ufunguo.

3: Ukiangalia siku za sikukuu za waislam Misaada hutolewa ya kufa mtu kulinganisha na sisi wakristo kusaidia wahitaji.

Wakuu tunafeli wapi?

Nimepata wazo hili nilipokuwa nikijilimia kishamba changu huku mtaa flani jijini dsm, nikasema haiwezekani ngoja magreat thonkers tusaidiane kutafakari nini tatizo.
Inabidi uongezee hii changamoto.
Matajiri wote wakubwa nchini ambao ni Waislam wote ni wa kutoka Asia au Uarabuni kabisa kwa Mtume. Nalo tujue kwa nn. Haiwezekani kina Makunganya hatumo kwenye list ya utajiri ilhali sisi ni waislam kabisa toka 1000AD
 
Kifupi shule imewachelewesha sana wakristo wengi kutajirika,iliwapotezea sana muda kuutafuta ustaarabu,na kipato cha kati,na si maximum profit,kipato cha kati kwa maana ya kuwa mtumwa wa ajira,so utafutaji wako na ustaarabu uliopewa unakufanya kuwa limited with your income,simple answers as that!
 
Wakiristo wameingizwa serikalini kimfumo wa kanisa katoliki ,waislamu wamenyimwa elimu lakini wapigania uhuru wa nchi kwenye historia ni waislamu kanisa likateka na kuweka wanaomtaka kunusuru mfumo wao Waislamu hawakawa hawana jinsi na kuingia kwenye biashara. Mafisadi wakubwa na wanaosababisha umasikini nchi hii ni waendesha serikali
Kwa nini hao wakatoliki wasiwe matajiri wa kutupwa.
Maana huko wanakotokea waliwahi kutawala dunia hadi waarsbu wakasalimu amri.
Pia tunasikia kuwa wananguvu sana.

Wanaelimu, wanaexposure kuliko waarabu lkn bado hakuna muwakilishi katika usukani wa utajiri.
Waislam hawajanyimwa elimu, wamejinyima wenyewe kwa itikadi zao lkn bado wako vizuri mno kiuchumi hasa biashara maana haihitaji degree au elimu kuwa mfanya biashara.

unadhani wakatoliki wamefeli wapi, maana kwa maelezo yako nchi hii ingekuwa dona kantri
 
Cha kushangaza kwenye list yako hakuna mtanzania mweusi wa dini uliyoizungumzia..
tusibaguane mkuu.
Tukija kwa weusi utataka wale wambao hawana dini.

Kwa nini watanzania weupe wasio wakristo hawamo kwenye list mkuu
 
Tunajua hayo ndio maana tumeanza kutengeneza matajiri wa kisukuma.
Tumeanza na kuwapa uwaziri, ukuu wa majeshi, mikoa, ubunge wa kuteuliwa na ubalozi
Kuna watu walikuwa na vyeo na bado wamekufa masikini, CHEO SIO KIPIMO CHA UTAJIRI, hoja yako ni dhaifu mno
 
Unamiss point hapa
Inategemea reference yako unafanya kutokea wapi.

Angalia historia ya kibiashara na uwekezaji tangu hapo zamani. Utaona hao unawaita waislam walikuwa wana settle sana na utajiri wao walikuwa wakiwekeza huku, lakin unaowaon ni wakristu walikuw wanapeleka kwao. Walikuwa hawawekezi huku.

Ukienda nchi ambazo asilimia kubwa ya uwekezaji ilifanywa na wazunguu utasikia wao wakija na maswali kinyume na ya kwako.

So, jibu hapo ni historia
 
ukifika tinde kuna waarabu hadi fundi viatu huko ndanindani.
Nadhani uarabu wao sioni kama ni sababu, maana kuna waarabu wengi wanashida tu.

Kwa nini Wakristo mfano wa Bukoba huko ambako elimu ilifika siku nyingi wasiwazidi hao waarabu. Maana sisi tunadirct connection na Ulaya kwa matajiri na mabeberu wao ni middle east tu ambako wengi ni choka mbaya vilevile
Hawa wana connection na ndg zao waliopo UAE. Ni kama ilivyo kanisa katoliki lina connection kubwa sana na makanisa yaliyopo ulaya. Sister anaweza kwenda kusali kwao German kigangoni sadaka ya pili akasimama Na kikapu sadaka watakayomchangia hapo akija huku anajenga kituo cha afya. Mfano huo unafanya Kazi kwa hao wenzetu. Kuprove ynachokisema ww leta list ya matajiri 10 wauslamu weusi kama sisi uweke na ya wakristo
 
Kifupi shule imewachelewesha sana wakristo wengi kutajirika,iliwapotezea sana muda kuutafuta ustaarabu,na kipata cha kati,na si maximum profit,kipato cha kati kwa maana ya kuwa mtumwa wa ajira,so utafutaji wako na ustaarabu uliopewa unakufanya kuwa limited with your income,simple answers as that!
mkuu nimekupata kwa uzuri.
Nimepata Bus moja na mwarabu kakimbia shule huko usukumani ila anapiga bizness balaa na Yuko vzr.

hivi vishule vilikuja kwa nia njema ila kuna misisitizo ilisahaulika katika kuipokea
 
Hawa wana connection na ndg zao waliopo UAE. Ni kama ilivyo kanisa katoliki lina connection kubwa sana na makanisa yaliyopo ulaya. Sister anaweza kwenda kusali kwao German kigangoni sadaka ya pili akasimama Na kikapu sadaka watakayomchangia hapo akija huku anajenga kituo cha afya. Mfano huo unafanya Kazi kwa hao wenzetu. Kuprove ynachokisema ww leta list ya matajiri 10 wauslamu weusi kama sisi uweke na ya wakristo
Kwa nini Waislam wawe na connection na matajiri wa UAE,
wakati Wakristo hawana Connection na wazungu wakristo walioko Ulaya na US.

wenda weusi tukawepo, lkn kwa nini tusiwe na connection na hao mabilionea wa dunia wa ulaya wakristo wenzetu tukachafua hiyo list na watu weusi wenye maconnection na madon wa ulaya mkuu.

huoni gap hapo
 
Unamiss point hapa
Inategemea reference yako unafanya kutokea wapi.

Angalia historia ya kibiashara na uwekezaji tangu hapo zamani. Utaona hao unawaita waislam walikuwa wana settle sana na utajiri wao walikuwa wakiwekeza huku, lakin unaowaon ni wakristu walikuw wanapeleka kwao. Walikuwa hawawekezi huku.

Ukienda nchi ambazo asilimia kubwa ya uwekezaji ilifanywa na wazunguu utasikia wao wakija na maswali kinyume na ya kwako.

So, jibu hapo ni historia
umekuja vizuri mkuu.
maana yake wakristo wa ulaya matajiri ni wabinafsi na wachoyo kuliko wenzetu.
Ila tukirudi nyuma walitupa elimu mapema, na tunaambiwa elimu ni ufungua wa maisha, je walitupa funguo feki maana wenzetu hata shule hawakuguza kihivyo labda wakina Siejii.
 
Nilichokiona Mimi uislam una connection nzuri na majini na kwa story zilizopo jini likikubali linakupa chochote unachoomba mi nachoweza kusema utajiri wa waislam wengi una uhusiano mzuri na mambo ya majini compared na utajiri wa wakristo.
 
ila pia usisahau kujiuliza, kwanini watanzania weusi wenye kipato cha kati(middle income tanzanians) wengi wao ni wakristo na wa kipato cha chini wengi wao ni waislamu.

haihitaji tafiti za kisomi kulijua hilo.
Una uhakika na unacho kisema?
 
Kwa nini Waislam wawe na connection na matajiri wa UAE,
wakati Wakristo hawana Connection na wazungu wakristo walioko Ulaya na US.

wenda weusi tukawepo, lkn kwa nini tusiwe na connection na hao mabilionea wa dunia wa ulaya wakristo wenzetu tukachafua hiyo list na watu weusi wenye maconnection na madon wa ulaya mkuu.

huoni gap hapo
Yaani hao ukifuatilia ukoo wao utagundua babu tu ndo alikuja na alizikwa tz nyuma ya babu wameishi UAE kwa hiyo ndg zao wengi wapo huko tofauti na ww
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom