Ulishasema tayari mkuuInaonyesha kuna udhaifu mkubwa katika usajili wa line za TTCL, lakini sitaki kusema watumishi wa TTCl wanahusika na wizi huu.
cc: Kanungila Karim [emoji276]
Wale matapeli wengi siku za hivi karibuni wanatumia sana line za TTCL kuhadaa wananchi kama kujiunga na Freemason au ile fedha tuma kwenye namba hii.
Kama ujumbe hapa chini unavyo jieleza.
666)POLE NA KAZI JIUNGE NA MTANDAO MKUBWA WA FREE~MASON UMILIKI UTAJILI WA PESA NYUMBA MAGALI BIASHALA KUJIUNGA NASI NO 0733252435