Kwanini matapeli wengi wanatumia line za TTCL?

Kwanini matapeli wengi wanatumia line za TTCL?

Pole na changamoto mkuu, tafadhali tuma screenshot ya huo ujumbe kwa msaada zaidi.
Asante

#RudiNyumbaniKumenoga

7EB7A013-5FA5-4D9B-83F4-A5A1CF207FB9.jpeg
 
Nijuzwe Mimi upata Sana ujumbe huu private wasap wa kuombwa urafiki. Sasa sielewi
Wengi ni wadada sasa sielewi lengo lao
😁👋 HELLOW 🇹🇿
🔥 Mambo vipi
Naitwa GOLDEN

NAISHI DAR
🇹🇿🇹🇿

Naomba usave namba yangu na Mimi nisave yako kwa ajili ya
📌 Status viewing
📌 Friendship
📌 Money connection

We share common group Viwanja Pwanu&Dar bei poa

🔖 JE WW UNAITWA NAN NIKUSAVE RAFIKI✊🇹🇿
 
Mtego huo
 
Wale matapeli wengi siku za hivi karibuni wanatumia sana line za TTCL kuhadaa wananchi kama kujiunga na Freemason au ile fedha tuma kwenye namba hii.

Kama ujumbe hapa chini unavyo jieleza.

666)POLE NA KAZI JIUNGE NA MTANDAO MKUBWA WA FREE~MASON UMILIKI UTAJILI WA PESA NYUMBA MAGALI BIASHARA KUJIUNGA NASI NO 0733252435
Pamoja na Hallotel , inadaiwa ni mitandao isiyo na udhibiti
 
Pamoja na Hallotel , inadaiwa ni mitandao isiyo na udhibiti
Inabidi wajipange, huwezi pata SMS ya wazee wa tuma huku au mganga kabambe toka Tanga au kujiunga na Freemason kutoka Voda
 
Back
Top Bottom