Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Angalia nini kinaendelea katika masoko hayo ndo utajua, majibu huwezi kuyapata humu Kama vyombo husika tu hawajayatoa!Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo.
Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi.
Ukimya wa serikali unasababishwa na nini? Je wananchi hatuna haki ya kupata taarifa?
Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo.
Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi.
Ukimya wa serikali unasababishwa na nini? Je wananchi hatuna haki ya kupata taarifa?
Serikali isiyo wajibika kwa wananchi wake inakosa sifa ya kuwa serikaliWanasema hawapangiwi hiyo ni siri ya sirikali bwashee
Moto wa kimichongo, au siyo MwaisaRipoti inakuja na mambo mazito kuyaweka hadharani.
Huu ni udhalimu, kwanini uchome mali ya wanyonge ambao wanalipa kodi na biashara yao ipo kihalali?Soko ulichome wewe, tume uunde wewe, halafu unataka na majibu utoe wewe. Hii huwa haipo hata kidogo
Go deep man of GodAngalia nini kinaendelea ktk masoko hayo ndo utajua, majibu huwezi kuyapata humu Kama vyombo husika tu hawajayatoa!
Majibu utayapata kwa kuangalia picha halisi.
Ndio marogo ya mafusho ya mwenge?Ni kwa sababu huwa hakuna uchunguzi unaofanyika, yale huwa ni maneno matamu ya kufariji wanyonge. Wanajua akili za wa TZ wengi huwa zinapoteza kumbukumbu haraka haswa kwenye mambo ya msingi.
😥😢😭😰[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa hiyo tume inayoteuliwa kuchunguza inakuwa imeteuliwa kabla soko halijaungua, ambapo kazi yao ya kwanza ni kulianzisha, na kazi ya pili ni kuondoa ushahidi, au siyoMpaka jambo liwekwe wazi ujue kuna la kuweka wazi. Sasa kama dhamira ya kutokea kwa tukio imetimia unataka waweke wazi nini.
Ikitokea ukafanya fumigation ndani ya nyumba yake, je mfanya fumigation huwa anakupa matokeo ya kwanini panya na mende wamekufa? Kikubwa ni kuwa dhamira ya kuua wadudu imetimia, anaondoka zake. Kwa wanaolewa washaelewa.
Serikali isiyo wajibika kwa wananchi wake inakosa sifa ya kuwa serikali
Ndio marogo ya mafusho ya mwenge?