Kwanini matukio mengi yanapangwa kuanza saa fulani kamili au na nusu

Kwanini matukio mengi yanapangwa kuanza saa fulani kamili au na nusu

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,042
Reaction score
3,095
Saivi tumeshaendelea sana ki teknolojia, saa zinaenda sambamba kila mahali, hatutegemei kusikia jogoo amewika au kuangalia kivuli ili tujue muda.

Lakini kila tukio, iwe kikao, vipindi vya redio au tv muda wa kuingia ofisini muda wa kuanza mechi
muda wa kuanza mkutano

Utasikia zinapangwa sa 8:00 hadi saa 12:30 etc

Kwanini matukio yasiwe yanapangwa saa 8:03 hadi saa 12:33

Mfano mimi kuamka kwangu asubui hua naamka saa 5:09 kila siku nasio kamili wala na nusu
 
Ukipanga wewe inatosha maisha ni vile utakavyo ilimradi hauvunji sheria na haudhuru mtu yoyote..
 
Utajua wewe hata ukitaka uishi bila kuangalia kufuata muda hiyo ni juu yako!.
nilishawahi kufanya hivyo soma zaidi hapa

 
Back
Top Bottom