Saivi tumeshaendelea sana ki teknolojia, saa zinaenda sambamba kila mahali, hatutegemei kusikia jogoo amewika au kuangalia kivuli ili tujue muda.
Lakini kila tukio, iwe kikao, vipindi vya redio au tv muda wa kuingia ofisini muda wa kuanza mechi
muda wa kuanza mkutano
Utasikia zinapangwa sa 8:00 hadi saa 12:30 etc
Kwanini matukio yasiwe yanapangwa saa 8:03 hadi saa 12:33
Mfano mimi kuamka kwangu asubui hua naamka saa 5:09 kila siku nasio kamili wala na nusu