D
Huwa mnasema mwanaume anaweza kuoa mwanamke amtakae wakati wowote. Haya sasa.Ni kwasaɓabu wanaume wengi wanaingia kwenye mahusiano na wanawake wasio wake zao. Jitu linakuwa na aina ya mwanaume linayempenda kichwani mwake lakini haliwezi kuwa nae zaidi ya kutumiwa tu
Kifupi wanawake wengi wanakubali kuolewa tu ili aonekane ameolewa lakini kichwani mwao wana wanaume wanaowatamani
Ikitokea aina ya huyo mwanaume alishawahi kuwa nae kimahusiano, hata angemuomba siku yenyewe ya harusi masaa machache kabla ya ndoa atampa tu
FactTunaowapenda bado hawajajipata.
Sasa kwanini waachane?Wanaoagana na wanaoaga wote ni wapuuzi tu ila zumbukuku ni yule mwenye jambo lake la baraka kesho alafu leo anaenda kumuaga ex wake. Watu wa hivyo hawaachani .
Sasa kwanini wasingeoana? Unatetea uzinzi sioSasa kwanini waachane?
Acheni watu wajipe raha.Sasa kwanini wasingeoana? Unatetea uzinzi sio
Matukio hayo yameshamiri zaidi Kinondoni na Ilala.Kwa sasa inaonekana Harusi zinazofungwa makanisani siku Moja kabla ya Ndoa, Kunakuwa na matukio ya ngono za kuagana zinazofanywa na Bibi Harusi na Ma-Ex wao. Hii Ina maana Harusi zinazofungwa leo Kanisani tarehe 01 August 2026 Asilimia 90% ya Bibi Harusi watarajiwa wiki Moja au siku Moja kabla watakuwa wameifanyia ngono zembe za bila kinga na Ex-Zao. Pole Sana wapi msiolijua hilo, Magonjwa ya UKIMWI yawatangulieni pindi mtakapoianza safari yenu ya Maisha huku Ex wakiendelea kugegeda huyo Mkeo uliyemuoa.
KWANINI NASEMA HAYA. SOMA HAPA CHINI UJIFUNZE
Leo tarehe 01 Agosti 2026 nimejikuta nikitafakari jambo ambalo limekuwa likizungumzwa mara kwa mara katika jamii. Kwa mujibu wa simulizi nilizozikuta leo, harusi moja imelazimika kuahirishwa baada ya kuzuka mgogoro unaohusisha madai kwamba bibi harusi mtarajiwa alikutwa akiwa na mpenzi wake wa zamani usiku mmoja kabla ya harusi. Viongozi wa dini na wazee wa pande zote wamekutana kujadili hatma ya suala hilo, huku maandalizi ya ukumbini yakiwa tayari yamefanyika.
Imenibidi nifike ukumbini ili kuona Hali ilivyo, nikwakuta Ndugu na jamaa wa Bw. Harusi, imebidi niulize kulikoni, na wao wakanijibu wanasubiri uamuzi wa kikao na jinsi ya kuwafahamisha wageni watakapowasili kwamba sherehe imeahirishwa hadi taarifa nyingine itakapotolewa.
Tukio hili limenifanya niulize swali muhimu: Kwa nini visa vya watu kufanya kile kinachoitwa "ngono za kuagana" na wapenzi wao wa zamani kabla ya kufunga ndoa vinaonekana kusikik