Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Kwa sasa inaonekana Harusi zinazofungwa makanisani siku Moja kabla ya Ndoa, Kunakuwa na matukio ya ngono za kuagana zinazofanywa na Bibi Harusi na Ma-Ex wao. Hii Ina maana Harusi zinazofungwa leo Kanisani tarehe 01 August 2026 Asilimia 90% ya Bibi Harusi watarajiwa wiki Moja au siku Moja kabla watakuwa wameifanyia ngono zembe za bila kinga na Ex-Zao. Pole Sana wapi msiolijua hilo, Magonjwa ya UKIMWI yawatangulieni pindi mtakapoianza safari yenu ya Maisha huku Ex wakiendelea kugegeda huyo Mkeo uliyemuoa.

KWANINI NASEMA HAYA. SOMA HAPA CHINI UJIFUNZE

Leo tarehe 01 Agosti 2026 nimejikuta nikitafakari jambo ambalo limekuwa likizungumzwa mara kwa mara katika jamii. Kwa mujibu wa simulizi nilizozikuta leo, harusi moja imelazimika kuahirishwa baada ya kuzuka mgogoro unaohusisha madai kwamba bibi harusi mtarajiwa alikutwa akiwa na mpenzi wake wa zamani usiku mmoja kabla ya harusi. Viongozi wa dini na wazee wa pande zote wamekutana kujadili hatma ya suala hilo, huku maandalizi ya ukumbini yakiwa tayari yamefanyika.

Imenibidi nifike ukumbini ili kuona Hali ilivyo, nikwakuta Ndugu na jamaa wa Bw. Harusi, imebidi niulize kulikoni, na wao wakanijibu wanasubiri uamuzi wa kikao na jinsi ya kuwafahamisha wageni watakapowasili kwamba sherehe imeahirishwa hadi taarifa nyingine itakapotolewa.

Tukio hili limenifanya niulize swali muhimu: Kwa nini visa vya watu kufanya kile kinachoitwa "ngono za kuagana" na wapenzi wao wa zamani kabla ya kufunga ndoa vinaonekana kusikik
Saza issue kama hii unafanya vikao vya nini,ni apite kule akaolewe na huyo X wake.
 
Wanawake watakuwa Wanaroga ili ndoa zifungwe makanisani

Maana unakuta Mwanamke hajatulia kitaani ana mabwana kibao lakini ghafla unasikia kapata Mume wa kumuona.

Hapo ndumba itakuwa inahusika
Wanaama maeneo wanayoishi. Mtu ashakitombesha sana mbagala uko. Halafu kaamia zake tegeta. Ukikutana nae hawezi kujua.
 
Wanaama maeneo wanayoishi. Mtu ashakitombesha sana mbagala uko. Halafu kaamia zake tegeta. Ukikutana nae hawezi kujua.
Mtaani kwangu kuna Bar maid aliolewa nilidhangaa sana na nilijiuliza swali kuwa jamaa anajua binti ni muhudumu na bado akaoa au ndio hivyo alimuona tu mahali wakawa wapenzi.
Kuna siku nikasikia Bar maids wenzake wanasema Jamaa anakaa Mkoa X hamjui binti vizuri-dah nilimuonea huruma sana Jamaa.
 
Kwani mabibi harusi tu na wanaagwa,mabwana hawaagi michepuko yao

Gen-Z bhana...kwahiyo upo tayari kuvunja ndoa Takatifu Kanisani, kwa sababu umemfumania Bwana Harusi Mtarajiwa na Ex wake siku Moja kabla ya Ndoa Takatifu????

Njoo usukumani huku, unaolewa na watoto wa Ex na Michepuko unaletewa uwalee kama wanao
 
Haya mambo yalikuwapo toka zamani ni vile tu kulikuwa hakuna mitandao ya kujua kila kitu na kusambaza habari.

Tumeagana sana tu na ma X wetu kabla ya kuolewa.
 
Back
Top Bottom