Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Ni kwasaɓabu wanaume wengi wanaingia kwenye mahusiano na wanawake wasio wake zao. Jitu linakuwa na aina ya mwanaume linayempenda kichwani mwake lakini haliwezi kuwa nae zaidi ya kutumiwa tu

Kifupi wanawake wengi wanakubali kuolewa tu ili aonekane ameolewa lakini kichwani mwao wana wanaume wanaowatamani

Ikitokea aina ya huyo mwanaume alishawahi kuwa nae kimahusiano, hata angemuomba siku yenyewe ya harusi masaa machache kabla ya ndoa atampa tu
TUTAKUFATILIA 😹
 
Duh. Kuna wimbo Mmoja wa Mwana FA - Utaoa Lini bado nipo nipo sana

Kuna mstari alisema...siku Moja kabla ya Harusi, Bibi Harusi kalala na Ex na bado mnataka nipe...

Aiseeee, huyu Naibu Waziri alikuwa mbele ya Muda ( Time Traveller)

Poleni Sana Wanandoa kwa Tukio hilo.

Na wale mnafunga ndoa siku ya leo, muwe makini huko kwenye honeymoney hebu jaribu kudadishi simu yake akitoa lock tu, mnyang'anye halafu kimbia nje ya chumba cha hotel na funga mlango ili asitoke halafu kagua SMS na mitandao ya Jamii na kaa na hiyo simu ukiwa kwenye chaji kwa siku zote tatu za honeymoon labda utabaini jambo.
Lakini kaoa pamoja na kujikana na nyimbo yake..!! 😹😹

Wanawake hatukwepeki ni km maji usipoyaoga utayanywa..!!
 
Aliyelala na bibi harusi,
Siku moja kabla ya harusi,
Na wala siyo bwana harusi,
Bado mnanishauri harusi?

Wengine wanasema nifumbe macho,
Wengine nizibe masikio,
Nisione wakati naibiwa?
Huwezi jua hamjaelewa,
Nikiona mtu anaibiwa,
Naona kama naibiwa mimi,
Ndo miaka kadha ijayo mniulize nitaoa kini,
Na yeye Mwana FA kaoa na katuliza mshono
 
Back
Top Bottom