Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
"Ile inshu ya kumhararisha malaya kuwa mke imetimia"
Alisikika mlevi mmoja akiropoka
Alisikika mlevi mmoja akiropoka
Si migogoro ya kugombana wao kwa wao bali ya kugawana mke na mwingine. Mke awe nyoka aliyekumbuka poriMigogoro lazima ni vile hawakushirikishi 😹😹
Mwana FA asichapiwe ye nani?
Nilibisha kwenye uzi mmoja hadi jasho 😂Hao wanaumia kuliko hata sisi ni vile yanajikaza..!! 😹😹😹
Maka alinipiga kibuti kibaya sana😭😭
Sasa hapo kuna tofauti ipi na anayefanya na ex wake na mumewe hajui?Si migogoro ya kugombana wao kwa wao bali ya kugawana mke na mwingine. Mke awe nyoka aliyekumbuka pori
Dah,Kwenye group la send off bibi harusi kawaadd maex zake na mara kwa mara anawakumbusha michango, we unazani kifuatacho ITV kitakuwa nini.
MC pilipili hatunaye sababu kama hizo ungekuwa unawapa reference kutoka kwa wenzao…!! 😹😹Nilibisha kwenye uzi mmoja hadi jasho 😂
😹😹😹 Utakua ulimcheat mshkaji wangu..!!Maka alinipiga kibuti kibaya sana😭😭
Watasema huyo ni simp! 😂MC pilipili hatunaye sababu kama hizo ungekuwa unawapa reference kutoka kwa wenzao…!! 😹😹
Ninachokwambia ni migogoro ya kugombana tu kama mume na mke ndiyo watakuwa nayo, hata mpendane vipi lazima kuna viugombi vitokee.Sasa hapo kuna tofauti ipi na anayefanya na ex wake na mumewe hajui?
Wewe huwezi kujua hizo ni Siri zao lazima naye mh agongewe tu!
Wewe mbona umekomalia sana au ni wewe mzee wa mabinti damdam? 😹😹😹Ninachokwambia ni migogoro ya kugombana tu kama mume na mke ndiyo watakuwa nayo, hata mpendane vipi lazima kuna viugombi vitokee.
Ila hiyo ya kubadilishana mke na mhuni au nyoka kukumbuka pori huikuti.
Naona hujanielewa
Wanaume wote ni masimp kwa wanawake wanaowapenda ni vile kelele nyingi jukwaani lakini kwa ground vinalia kama vitoto vya ndege..!! 😹😹Watasema huyo ni simp! 😂
Wanaume wana vimbwanga we!
Siku hizi mambo si mambo bro.Lakini tukiwaambia zingatieni bikira mnatuita misogynists. Mnasema tuna inferiority complex. Mnatuambia tafuta hela
😀ningekuwa najibu simu za ikulu badala ya reply zenuWewe mbona umekomalia sana au ni wewe mzee wa mabinti damdam? 😹😹😹
Mate this is what i knowWanaume wote ni masimp kwa wanawake wanaowapenda ni vile kelele nyingi jukwaani lakini kwa ground vinalia kama vitoto vya ndege..!! 😹😹
Kwamba muda wote upo busy?😀ningekuwa najibu simu za ikulu badala ya reply zenu
Hakuna kitu kinaumiza mwanaume kama kujua amegongewa mbususu yake
Miongo miongo sio ya kuiamini..!!Mate this is what i know
😂
Mwenetu kuna uzi humu nilikesha kuwaelewesha hawa watu.Hakuna kitu kinaumiza mwanaume kama kujua amegongewa mbususu yake