Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Kwa sasa inaonekana Harusi zinazofungwa makanisani siku Moja kabla ya Ndoa, Kunakuwa na matukio ya ngono za kuagana zinazofanywa na Bibi Harusi na Ma-Ex wao. Hii Ina maana Harusi zinazofungwa leo Kanisani tarehe 01 August 2026 Asilimia 90% ya Bibi Harusi watarajiwa wiki Moja au siku Moja kabla watakuwa wameifanyia ngono zembe za bila kinga na Ex-Zao. Pole Sana wapi msiolijua hilo, Magonjwa ya UKIMWI yawatangulieni pindi mtakapoianza safari yenu ya Maisha huku Ex wakiendelea kugegeda huyo Mkeo uliyemuoa.

KWANINI NASEMA HAYA. SOMA HAPA CHINI UJIFUNZE

Leo tarehe 01 Agosti 2026 nimejikuta nikitafakari jambo ambalo limekuwa likizungumzwa mara kwa mara katika jamii. Kwa mujibu wa simulizi nilizozikuta leo, harusi moja imelazimika kuahirishwa baada ya kuzuka mgogoro unaohusisha madai kwamba bibi harusi mtarajiwa alikutwa akiwa na mpenzi wake wa zamani usiku mmoja kabla ya harusi. Viongozi wa dini na wazee wa pande zote wamekutana kujadili hatma ya suala hilo, huku maandalizi ya ukumbini yakiwa tayari yamefanyika.

Imenibidi nifike ukumbini ili kuona Hali ilivyo, nikwakuta Ndugu na jamaa wa Bw. Harusi, imebidi niulize kulikoni, na wao wakanijibu wanasubiri uamuzi wa kikao na jinsi ya kuwafahamisha wageni watakapowasili kwamba sherehe imeahirishwa hadi taarifa nyingine itakapotolewa.

Tukio hili limenifanya niulize swali muhimu: Kwa nini visa vya watu kufanya kile kinachoitwa "ngono za kuagana" na wapenzi wao wa zamani kabla ya kufunga ndoa vinaonekana kusikik
Ex nae ana Ex wake
 
Ukweli mchungu, kwenye wimbo wa diamond wa holiday kuna mstari anasema "we unagharamikia na kuna baharia anakula bure" mimi naongezea hata huyo baharia anaemla bure demu wako unaemuhonga, na yeye kuna sehemu anagharamikia na kuhonga balaa..

Mwanaume ukiwa mjanja kwa demu huyu, utakua boya kwa demu mwingine, haya mambo hayana mbabe Lamomy
Kuna muda kumbe huwa unarudi kwenye factory settings..!! 😹😹
 
Maelezo ambayo walau yanaingia akilini ni kwamba wanawake huwa wanakubali kuolewa ili tu wasitirike lakini kiukweli bado hawajaamua kuacha makando kando yao

Na bahati mbaya zaidi ni kwamba wanaowapenda sio waoaji,kwahiyo ataolewa kwakuwa muda unaenda lakini si ajabu atazaa na ex kwakuwa anampenda

Tupambaneni na hali zetu tu
Ila inauma kinoma, siku ukibaini ukiwa na roho ndogo ni suicide au murder.
 
Hii inasikitisha sana, unaoa Ndoa Takatifu Kanisani halafu na watoto pia unasingiziwa siyo wako.

KWANINI wadada siku hizi mmekuwa wakatili kuliko Mama zenu waliowazaa???

KWANINI uoelewe halafu bado na watoto inaniletea wa kidume mwenzangu ndani ya nyumba niwalee????
Hakuna jambo linaumiza kama hili. Baba levo alivyolisema bungeni kuna wabunge wanawake walitaka kulichukulia kiwepesi lakini hili ni zito sana

unaoitwa ukatili kwa mwanamke unaofanywa na mwanaume, siku ukifanyiwa uchunguzi makini watagundua chanzo kikubwa ni mwanamke mwenyewe

Hebu fikiria, umefunga ndoa, unaishi nae, unalala nae kitanda kimoja, huduma zote unatoa, anapata mimba, unalea mimba pamoja na kero zote za mimba, anajifungua, unapewa hongera kwa kupata mtoto, unahudumia mama na mtoto, mtoto anajifunza kuongea kwa kukuita "Baba", heka heka zoote za utotoni unazivumilia ukijua hata wazazi wako walizivumilia,

halafu dakika za jioooookni kabisa unakuja kugundua mtoto sio wako, kuna jamaa liko pembeni kipindi chote hicho lilikuwa linakuchora tu

Hivi hali kama hii wanaichukulia poa eeh???
 
Anaamini wanaume wengi wana trauma ya bad relationship kama ambayo mwanaume anayetajwa kwenye huu uuzi huenda ameipata kupitia tukio alilopigwa na mke wake mtarajiwa. Mimi naamini ni wanaume wachache wana trauma ya kweli inayotokana na mapenzi. Matukio ya mwanamke kumpiga event mwanaume si mengi kama yalivyo matukio ya mwanaume kumpiga matukio mwanamke. Na hii inachangiwa na advantages nyingi zaidi za kibaiolojia, kiuchumi, na za kimila na desturi alizonazo mwanaume ukilinganisha na mwanamke.
Nikuulize jambo moja tu ukiangalia mabandiko ya humu jukwaani we unaona ni kina nani wa trauma?
 
Nikuulize jambo moja tu ukiangalia mabandiko ya humu jukwaani we unaona ni kina nani wa trauma?
Ni nyuzi chache za hapa jukwaani zina viashiria vya wahusika kuwa na trauma ya kweli. Kile ambacho mara nyingi kinaweza kuonekana kama ni trauma kwa wahusika ni "venting" tu. Ni hali ya wahusika kuelezea hisia zao kuhusu issues mbalimbali za kimahusiano lakini haimaanishi kwamba wana trauma. Pia ni makosa ku judge ni jinsia ipi kwa nyuzi za hapa jukwaani ina trauma zaidi kwasababu hautapata representative sample for obvious reasons. Wanawake wengi wa Kitanzania hawana utayari wa kuwa wa kwanza kufunguka siri za maisha yao kwenye umati uliojaa wanaume ambao tayari wapo very negative kuhusu wanawake.
 
Ndoa inahusisha utimamu wa akili, Ukiona unaenda kutoa penzi siku moja kabla ya kuoa/kuolewa basi ujue hujawa tayari kwa hiyo ndoa

Ndiyo maana matukio ya kuchepuka ndani ya ndoa yameshika kasi, kumbe kuna mtu amekukubali uingie kwenye maisha yake kwa kuwa chaguo lake la kwanza haliku-tick
Au sio!!
 
Ni nyuzi chache za hapa jukwaani zina viashiria vya wahusika kuwa na trauma ya kweli. Kile ambacho mara nyingi kinaweza kuonekana kama ni trauma kwa wahusika ni "venting" tu. Ni hali ya wahusika kuelezea hisia zao kuhusu issues mbalimbali za kimahusiano lakini haimaanishi kwamba wana trauma. Pia ni makosa ku judge ni jinsia ipi kwa nyuzi za hapa jukwaani ina trauma zaidi kwasababu hautapata representative sample for obvious reasons. Wanawake wengi wa Kitanzania hawana utayari wa kuwa wa kwanza kufunguka siri za maisha yako kwenye umati uliojaa wanaume ambao tayari wapo very negative kuhusu wanawake.
Haya mkuu mie hizi issue za kutafuta nani ni perfect kati ya me na ke zimeshanichosha

Utakatifu mliojivika wanaume hauna kiwango aisee
 
Back
Top Bottom