D
DeletedMember281674
Guest
- Thread starter
- #181
Ndiyo maana nakuchapia mke wako, stay strong minded mwanetuMaisha ya uwoga uwoga siyo maisha kabisa, marriage is for strong minded men.
Ndiyo maana nakuchapia mke wako, stay strong minded mwanetuMaisha ya uwoga uwoga siyo maisha kabisa, marriage is for strong minded men.
Kwanza asipigiwe ye kama nani? 😹
Hakuna jambo linaumiza kama hili. Baba levo alivyolisema bungeni kuna wabunge wanawake walitaka kulichukulia kiwepesi lakini hili ni zito sana
unaoitwa ukatili kwa mwanamke unaofanywa na mwanaume, siku ukifanyiwa uchunguzi makini watagundua chanzo kikubwa ni mwanamke mwenyewe
Hebu fikiria, umefunga ndoa, unaishi nae, unalala nae kitanda kimoja, huduma zote unatoa, anapata mimba, unalea mimba pamoja na kero zote za mimba, anajifungua, unapewa hongera kwa kupata mtoto, unahudumia mama na mtoto, mtoto anajifunza kuongea kwa kukuita "Baba", heka heka zoote za utotoni unazivumilia ukijua hata wazazi wako walizivumilia,
halafu dakika za jioooookni kabisa unakuja kugundua mtoto sio wako, kuna jamaa liko pembeni kipindi chote hicho lilikuwa linakuchora tu
Hivi hali kama hii wanaichukulia poa eeh???
Hakika MkuuNi kweli, toka udogo tunafundishwa kubeba majukumu, kustahimili maumivu, na kutokupenda kuropoka.
Ndio maana wanaume wengi huwa tunakuja kuwaelewa wazee wetu zaidi pale tunapobeba majukumu kama yao
Hawa viumbe ndo wateja wakubwa kwa ndumba,Inawezekana wakawa Wanaroga ili kupata mtu wa kumuona. Inawezekana Hawa wadada Wanaroga Wanaume wanaowataka wawaoe ndiyo maana ndoa zinafungwa.
Haiwezekani Mwanamke ni Malaya kitaani eti ghafla unasikia kesho anaolewa. Huwa haingii akilini
Muhimu kuwaaga wakina shem darling siku chache kabla ya kufunga....Huwa mnasema mwanaume anaweza kuoa mwanamke amtakae wakati wowote. Haya sasa.
Mimi nimemuambia kijana wangu marufuku kulia Lia....Hakika Mkuu
Nakumbuka hata kulia machozi ilionekana mwanamke ndiyo anatakiwa kulia, sisi Wanaume tulifundishwa kuwa na uwezo wa kuvumilia nyakati ngumu, hivyo kulia ni kosa
Japo miaka hii, hadi Wanaume nao hulia wakipewa zawadi na wapenzi wao ama wakati wa kuvalishana Pete za uchumba/ndoa 🙌
Na upande wa kuhudumia familia tulifundishwa tangu tukiwa jandoni, kwamba mume ni provider, unatakiwa ujitoe hasa kwaajili ya kuhakikisha familia inapata mahitaji
Lakini wenzetu wa kike, akilipa hata bili ya Maji/Umeme inakuwa matangazo kwa majirani ikitokea mmegombana 🙌
Unataka kupata Stroke weweJamani Kuna mwanamke ninataka nimuoe... kwasasa tupo kwenye mahusiano tu na hata mahari sijatoa yeye yupo songea chuoni mimi nipo masasi sasa naomba kama Kuna mtaalamu nitampa 50000 nataka aniwekee mfumo wa kwamba kila meseji na simu anayopigiwa mimi niwe naona huku
Hapana mkuu sipati stroke kama Kuna unaemjua niunganishe nae nitampozaUnataka kupata Stroke wewe
Hayo ni mambo ya kawaida katika jamii,ulitegemea nini? mke ana kuwa kazini masaa 10 halafu anakuwa na mume masaa mawili tu katika siku yanayobaki kulala,wanaomfaidi ni wale wanaokaa naye masaa 10.jipe moyo mkuu.Ndiyo maana nakuchapia mke wako, stay strong minded mwanetu
Hapana...sitaki ufe kijana wetu.Hapana mkuu sipati stroke kama Kuna unaemjua niunganishe nae nitampoza
Ni ujinga Mwanaume kulia liaMimi nimemuambia kijana wangu marufuku kulia Lia....
Wanasaikolojia wa AI wanakuambia wanaume nao walie hahah sijui tunakwenda wapi
Na ikibidi basi mara moja mojaMuhimu kuwaaga wakina shem darling siku chache kabla ya kufunga....
Sikia kiongozi huyo mwanamke tuna muda mfupi mnoHapana...sitaki ufe kijana wetu.
Ni muhimu saana. Sijui kwanini but ex ni watamu. Mara moja moja Kwa afyaNa ikibidi basi mara moja moja
Unamaanisha nini mkuu??Hayo ni mambo ya kawaida katika jamii,ulitegemea nini? mke ana kuwa kazini masaa 10 halafu anakuwa na mume masaa mawili tu katika siku yanayobaki kulala,wanaomfaidi ni wale wanaokaa naye masaa 10.jipe moyo mkuu.
Kupasha kiporo muhimuNdoa, Ndoano.