Kwani hujui kuwa ngono huchukua asilimia 90 za akili za wanaadamuKwa sasa inaonekana Harusi zinazofungwa makanisani siku Moja kabla ya Ndoa, Kunakuwa na matukio ya ngono za kuagana zinazofanywa na Bibi Harusi na Ma-Ex wao. Hii Ina maana Harusi zinazofungwa leo Kanisani tarehe 01 August 2026 Asilimia 90% ya Bibi Harusi watarajiwa wiki Moja au siku Moja kabla watakuwa wameifanyia ngono zembe za bila kinga na Ex-Zao. Pole Sana wapi msiolijua hilo, Magonjwa ya UKIMWI yawatangulieni pindi mtakapoianza safari yenu ya Maisha huku Ex wakiendelea kugegeda huyo Mkeo uliyemuoa.
KWANINI NASEMA HAYA. SOMA HAPA CHINI UJIFUNZE
Leo tarehe 01 Agosti 2026 nimejikuta nikitafakari jambo ambalo limekuwa likizungumzwa mara kwa mara katika jamii. Kwa mujibu wa simulizi nilizozikuta leo, harusi moja imelazimika kuahirishwa baada ya kuzuka mgogoro unaohusisha madai kwamba bibi harusi mtarajiwa alikutwa akiwa na mpenzi wake wa zamani usiku mmoja kabla ya harusi. Viongozi wa dini na wazee wa pande zote wamekutana kujadili hatma ya suala hilo, huku maandalizi ya ukumbini yakiwa tayari yamefanyika.
Imenibidi nifike ukumbini ili kuona Hali ilivyo, nikwakuta Ndugu na jamaa wa Bw. Harusi, imebidi niulize kulikoni, na wao wakanijibu wanasubiri uamuzi wa kikao na jinsi ya kuwafahamisha wageni watakapowasili kwamba sherehe imeahirishwa hadi taarifa nyingine itakapotolewa.
Tukio hili limenifanya niulize swali muhimu: Kwa nini visa vya watu kufanya kile kinachoitwa "ngono za kuagana" na wapenzi wao wa zamani kabla ya kufunga ndoa vinaonekana kusikik
Don't say no...Acha uongo we jamaa,unajua hekaheka za kuwa bi harusi wewe?huo muda wa kulala na ex siku moja kabla ya harusi unautoa wapi?muda haujawahi tosha kwa bibi harusi....
Tatizo kubwa wadada wakinusa harufu ya ndoa, wataingia kwenye hiyo ndoa, hata kama wana wapenzi wao wa muda mrefu wanaowapenda. Katika mazingira kama hayo, mdada wa namna hii, atakuwa kwenye ndoa ilimradi tu ni ndoa, lakini moyoni mwake, mpnz wake ni huyo ex wake.Kwa sasa inaonekana Harusi zinazofungwa makanisani siku Moja kabla ya Ndoa, Kunakuwa na matukio ya ngono za kuagana zinazofanywa na Bibi Harusi na Ma-Ex wao. Hii Ina maana Harusi zinazofungwa leo Kanisani tarehe 01 August 2026 Asilimia 90% ya Bibi Harusi watarajiwa wiki Moja au siku Moja kabla watakuwa wameifanyia ngono zembe za bila kinga na Ex-Zao. Pole Sana wapi msiolijua hilo, Magonjwa ya UKIMWI yawatangulieni pindi mtakapoianza safari yenu ya Maisha huku Ex wakiendelea kugegeda huyo Mkeo uliyemuoa.
KWANINI NASEMA HAYA. SOMA HAPA CHINI UJIFUNZE
Leo tarehe 01 Agosti 2026 nimejikuta nikitafakari jambo ambalo limekuwa likizungumzwa mara kwa mara katika jamii. Kwa mujibu wa simulizi nilizozikuta leo, harusi moja imelazimika kuahirishwa baada ya kuzuka mgogoro unaohusisha madai kwamba bibi harusi mtarajiwa alikutwa akiwa na mpenzi wake wa zamani usiku mmoja kabla ya harusi. Viongozi wa dini na wazee wa pande zote wamekutana kujadili hatma ya suala hilo, huku maandalizi ya ukumbini yakiwa tayari yamefanyika.
Imenibidi nifike ukumbini ili kuona Hali ilivyo, nikwakuta Ndugu na jamaa wa Bw. Harusi, imebidi niulize kulikoni, na wao wakanijibu wanasubiri uamuzi wa kikao na jinsi ya kuwafahamisha wageni watakapowasili kwamba sherehe imeahirishwa hadi taarifa nyingine itakapotolewa.
Tukio hili limenifanya niulize swali muhimu: Kwa nini visa vya watu kufanya kile kinachoitwa "ngono za kuagana" na wapenzi wao wa zamani kabla ya kufunga ndoa vinaonekana kusikik
SawaDon't say no...
Ni vile tuu sio Vema kueleza hapa.
Ila haya mambo yapo. Na huenda sio lazima ikawa siku moja kabla ya harusi but inawezekana pia
Dunia inazidi kuwa ngumu ila activists wanataka wanaume wawe soft zaidi.Hakika Mkuu
Nakumbuka hata kulia machozi ilionekana mwanamke ndiyo anatakiwa kulia, sisi Wanaume tulifundishwa kuwa na uwezo wa kuvumilia nyakati ngumu, hivyo kulia ni kosa
Japo miaka hii, hadi Wanaume nao hulia wakipewa zawadi na wapenzi wao ama wakati wa kuvalishana Pete za uchumba/ndoa 🙌
Na upande wa kuhudumia familia tulifundishwa tangu tukiwa jandoni, kwamba mume ni provider, unatakiwa ujitoe hasa kwaajili ya kuhakikisha familia inapata mahitaji
Lakini wenzetu wa kike, akilipa hata bili ya Maji/Umeme inakuwa matangazo kwa majirani ikitokea mmegombana 🙌
😹😹😹 at your own riskNikiwa na mtu kama wewe, najiona kabisa napata Pressure na Kisukari wiki ya kwanza ya Ndoa
😹😹😹 at your own risk
Hana akili huyoTukio moja ndilo limekufanya uamini kuna wimbi kubwa la maex kufanya ngono za kuagana kabla ya ndoa tena wakiristo.
Hadi wewee? Aaah mzee wa Hall V acha hizo bhana.Kupasha kiporo muhimu
Akishabaini jambo, nini afanye....Duh. Kuna wimbo Mmoja wa Mwana FA - Utaoa Lini bado nipo nipo sana
Kuna mstari alisema...siku Moja kabla ya Harusi, Bibi Harusi kalala na Ex na bado mnataka nipe...
Aiseeee, huyu Naibu Waziri alikuwa mbele ya Muda ( Time Traveller)
Poleni Sana Wanandoa kwa Tukio hilo.
Na wale mnafunga ndoa siku ya leo, muwe makini huko kwenye honeymoney hebu jaribu kudadishi simu yake akitoa lock tu, mnyang'anye halafu kimbia nje ya chumba cha hotel na funga mlango ili asitoke halafu kagua SMS na mitandao ya Jamii na kaa na hiyo simu ukiwa kwenye chaji kwa siku zote tatu za honeymoon labda utabaini jambo.
Haupo wala haujawahi kuwepo.Infropreneur eti kaka uchawi upo?
😹😹😹 Kuachana sio ugomvi lazima mtakiane ndoa njema..!!
Eti wanasema wanawake tunaroga ili tuolewe 😹Haupo wala haujawahi kuwepo.