Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ndugu zangu,
Tukiweka imani za dini pembeni na ukikaa ukichunguza sana huku unajiuliza maswali mengi utakuja kugundua kwamba kuna utata wa majina ya kijinsia , maumbo ya kijinsia na mavazi yake? .
Swali.
1: Ni kwanini basi jinsia ya kike ikaumbwa kwa umbo lile na imekuaje kuaje mpaka ikawa vile nini chanzo chake mpaka ikaitwa jinsia ya kike ?
2: Ni kwanini jinsia ya kiume ipo vile na umbo lake na imekuaje kuaje mpaka ikawa vile nini chanzo chake mpaka ikaitwa jinsia ya kiume?
3: Ni nani aliyegundua hii ni jinsia ya kike kwa umbo hili na hii ni jinsia ya kiume kwa umbo hili , alitumia vigezo gani kutoa majina ya kijinsia na kugundu maumbo ya kijinsia?
4: Aliye anzisha kwamba jinsia ya kike iitwe majina haya na ivae mavazi kama gauni , sketi, nguo za ndani za namna ile ni nani na ilikuaje kuaje , na wanaume wavae kama wanavyo vaa sasa hivi?
5: Je, umbo la kike lilitokanaje na wapi na umbo la kiume lilitoka wapi na lilitokanaje mpaka ikawa hivyo na kwanini ilikua huyu ni mwanamke na huyu ni mwanaume chanzo chake ni nini na walitoka wapi?