Nakubaliana na wewe Maana nilishangaa iweje Mwigulu aje aseme hayapo wakati Naibu wake Mzanzibar amesema yapoWaislamu wako vizuri.
Kweli wametuacha gizani hata hatujui hatma ya Trilioni 360Mambo ya wanasiasa ni mazito sana.
Sad indeedKweli wametuacha gizani hata hatujui hatma ya Trilioni 360
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusiana na Sakata la Trilioni 360 alikiri mbele ya Bunge kuwa madai hayo ni kweli yapo na Serikali inayatambua.
Lakini alipokuja Mwigulu Nchemba kuongezea majibu ya Naibu Waziri wake akasema mashauri hayo hayapo na tena hayapo TRAB na TRAT na ni jambo mahususi.
Swali tunalojiuliza ni Kwanini Mawaziri wa ZANZIBAR hawapendi kusema uongo lakini wa Bara kama Mwigulu akaamua kutudanganya Watanzania.