Kwanini Mawazo ya biashara kwa sisi Watanzania hufanana sana. Ni uvivu wa kufikiri?

Kwanini Mawazo ya biashara kwa sisi Watanzania hufanana sana. Ni uvivu wa kufikiri?

Kama milion 100 utafanyia kitu gani?
#1. Importation ya bidhaa za brand name yako, ongea na wachina wakuletee, kuanzia nguo au hata vifaa vya manyumbani vidogo dogo wanakuletea kwa brand yako

#2. Una chance ya kuanzisha hata kiwanda kidogo,

In short kwa 100M + utafanya biashara nzuri ukikaza, ila sio kwenye 3M zetu hizi
 
Nadhani ishu ni ubunifu hapa na kujiongeza a little bit (kama mtaani wanavyosema). Biashara hizi hizi kama tukiwa na jicho la kuona kitu cha pekee (kua mbunifu) basi tutatoboa.
Huwezi kufanya majaribio kwa jina la ubunifu kwa milioni 2! Maji utaita mma
 
Unazungumzia Uniqu Ideas je mahitaji ya binadamu yamebadilika nakua Unique, mahitaji ni yaleyale ya kilasiku na hizo Everyday business ndio sisi watu tunatumia pesa.

Nikiamka asubui lazima nipande GARI sio DRONE, nikiwa job lazima nikale Wali (mama ntilie) what unique to give me food, nikila nanunua Juisi sihitaji Vending machine, nanunua Bando kuingia JF nimeuziwa na Mangi Kiduka.

Unique haina maana...Mosi.

Pili, Mtaji huezi fikiri kuleta kipya kwa mtaji wa Million 3 lazima ufanye cha kilasiku ndio kikupe pesa ya kuanzisha kipya, hapa nazungumzia Real Business kama kuanzisha Marketing Agencies, Fintech Startup nk hizi ndio idea nilitegemea nizione japonica zinahitaji mtaji ila wewe umeandika Vending Machine ipi potential ya Vending Machine nk
Sijakuelewa mkuu unamaanisha nini kwenye hii insha yako. Nadhani Kuna kazi ya ziada kwako kulipa tution Fee Kwa mtoa Mada Ili upate elimu kidogo. Au tuseme umekosa ubunifu?
 
Twende taratibu, bodaboda Million 2 so unaweza enda China kuchapa T-shirt kama za JUX ukaja kuuza Tz kwa hio pesa...Mosi.

Pili je unajua kwanini JUX anaweza kuuza hizo T-shirt yeye ana Authority behind, wewe na Million 2 yako na si maarufu huezi kuuza hizo T-shirt kamwe.

Wewe inaonesha ndio ukipewa hio Million 2 week tu ushachoma ila atakayefungu Tigopesa atakuwa na Cashflow ya kueleweka.
Mawazo kama haya hatuwezi kuendelea, pia acha kuaminisha Umma kuwa Ili ufanikiwe ninlazima uwe maarufu
 
Unazungumzia Uniqu Ideas je mahitaji ya binadamu yamebadilika nakua Unique, mahitaji ni yaleyale ya kilasiku na hizo Everyday business ndio sisi watu tunatumia pesa.

Nikiamka asubui lazima nipande GARI sio DRONE, nikiwa job lazima nikale Wali (mama ntilie) what unique to give me food, nikila nanunua Juisi sihitaji Vending machine, nanunua Bando kuingia JF nimeuziwa na Mangi Kiduka.

Unique haina maana...Mosi.

Pili, Mtaji huezi fikiri kuleta kipya kwa mtaji wa Million 3 lazima ufanye cha kilasiku ndio kikupe pesa ya kuanzisha kipya, hapa nazungumzia Real Business kama kuanzisha Marketing Agencies, Fintech Startup nk hizi ndio idea nilitegemea nizione japonica zinahitaji mtaji ila wewe umeandika Vending Machine ipi potential ya Vending Machine nk
Uzi ufungwe
 
Back
Top Bottom