Kwanini Mawazo ya biashara kwa sisi Watanzania hufanana sana. Ni uvivu wa kufikiri?

Kama milion 100 utafanyia kitu gani?
#1. Importation ya bidhaa za brand name yako, ongea na wachina wakuletee, kuanzia nguo au hata vifaa vya manyumbani vidogo dogo wanakuletea kwa brand yako

#2. Una chance ya kuanzisha hata kiwanda kidogo,

In short kwa 100M + utafanya biashara nzuri ukikaza, ila sio kwenye 3M zetu hizi
 
Nadhani ishu ni ubunifu hapa na kujiongeza a little bit (kama mtaani wanavyosema). Biashara hizi hizi kama tukiwa na jicho la kuona kitu cha pekee (kua mbunifu) basi tutatoboa.
Huwezi kufanya majaribio kwa jina la ubunifu kwa milioni 2! Maji utaita mma
 
Sijakuelewa mkuu unamaanisha nini kwenye hii insha yako. Nadhani Kuna kazi ya ziada kwako kulipa tution Fee Kwa mtoa Mada Ili upate elimu kidogo. Au tuseme umekosa ubunifu?
 
Mawazo kama haya hatuwezi kuendelea, pia acha kuaminisha Umma kuwa Ili ufanikiwe ninlazima uwe maarufu
 
Uzi ufungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…