Kwanini Mazoezi hayanisaidii?

Mazoezi hayasaidii na hayatokusaidia

Acha kula hio ndio njia sahihi 100%

Mie kuna kipindi nilipanda uzito mpaka 80kg ila sio unene nikapunguza mpaka 68kg ndani ya wiki 2 ,

Nilikuwa nakunywa maji mengi mchana ,usiku kahawa na kashata basi

Enzi hizo nasakata ball
 
Uko sawa! Huyu jamaa hafanyi mazoezi, kama anafanya mazoezi, basi ni yale yanayoambatana na kujihurumia, kudeka na kijifariji!!
Mazoezi unapoyafanya lazima upate maumivu na utaona kama adhabu! Tueleze unafanya mazoezi gani na kwa kiasi gani na kwa muda gani!!
 
asali niwanga kumbe, fafanua mkuu
 
Kula mboga za majani Kwa wingi, matunda, nyama iwe samaki, ukiweza uwe na shamba kama eka wewe ndio wa kulima, kupalilia nakuhakikishia uzito utapukutika
 
Mkuu pole sana. Kama wewe ni me ni hasara. Uzito,unene na kisukari mke unamuhudumia kweli??
Kuwa makini na aina ya chakula unachokula.
 
Mkuu hakuna kitu kigumu kama kufanya mazoezi ya kupunguza mwili!!......Asilimia 99 huwa wanakata tamaa then wanaanza kudai kuwa wanafanya mazoezi na hawapungui kumbe walishakata tamaa siku nyingi sana!!
Kabisa mazoezi yanataka moyo sana
 
Mkuu kuna Dr ntakuunganisha nae nakupa guarantee utapungua kilo zitafika hadi 70 km utafata nasharti yake has a kwny chakula
Naomba nipm nimtafute Huyo doctor
 
Kazi ndogo sana nicheck kwa namba hii 0785074040 tuyajenge nikusaidie mkuu
 
Usikate tamaa mkuu.
Mtafute Dr. Boaz Mkumbo MD atakusaidia
Utampata Facebook pia Youtube ana channel yake, vilevile anavitabu vyenye maelekezo ya kupungua, chukua namba kwenye page yake mtafute atakuelekeza ofisini kwake mwananyamala.
Jamaa amesaidia wengi kupunguza uzito wa mwili pamoja na kuondokana na magonjwa ya kisukari, pressure, ngozi etc kwa kutumia mwongozo wake wa "HEALTHY EATING ACADEMY (HEA)"
Kwa kifupi unatakiwa kukwepa kabisa vyakula vya sukari & wanga.
Utapungua hata bila ya mazoezi
Lakini ukifuata lishe pamoja na mazoezi utapungua kwa speed.
Kasi ya kupungua & kupona figisu za mwili inatofautiana kati ya mtu na mtu, kuna mtu ndani ya wiki 2 anaona matokeo, mwengine hadi baada ya miezi kadhaa ndipo ataona matokeo.
Pia kua makini matapeli ni wengi, wengine tulikua wanafunzi wake na tunajidai kukomboa watu kwa mgongo wa jamaa.
YOTE KWA YOTE UNATAKIWA UKAZE UZI KWELIKWELI ILI KUFIKIA MALENGO, SIO KITU RAHISI
Binafsi nilipunguza kilo 11 ndani ya siku 100
 
Hebu weka picha yako tukuone kama kweli wewe bonge au bwanyeye
 
Ingia Fb Andika Dr Boaz Mkumbo Huyu Anakuelekeza Ni Chakula Gan Ule Na Uzito Utapungua Hata Kama Hufanyi Mazoez Ana Kitabu Cha Lishe/mapishi Ya Kukuelekeza Ule Nini Na Kwa Nini Kuna No Pale Utapga Uongee Nae
 
Mkuu kuna Dr ntakuunganisha nae nakupa guarantee utapungua kilo zitafika hadi 70 km utafata nasharti yake has a kwny chakula
Mwambia Dr. atupie tu nondo humu. Utabarikiwa sana mkuu
Thanks
 
Sio kazi ya mazoezi kukupunguza uzito, mazoezi kazi yake ni kufanya mwili wako uwe imara na wenye afya njema bila kujali kama wewe ni mnene au mwembamba.

Cha kwanza rekebisha lishe yako.

Mfano, mimi hua nikiona nimeongezeka uzito, nakula mchana pekee, jion nakunywa chai kavu, asubuhi chai kavu kikombe kimoja na huo mlo wa mchana ni nusu ya kipimo cha ulaji wangu wa kila siku.

Wiki 2 tu nishakata karibu kilo 10 maana ile cabs intake ya kila siku naipunguza kwa 75%, hivyo ile fat na carbohydrate iliyoko mwilini in excess ambayo inanifanya niongezeke uzito inalazimika kutumika ili kufidia upungufu wa 75%.

Hua sihitaji mazoezi, ni msosi tu, nikipunguza misosi hua napunguza uzito.

Mkuu punguza kula misosi ya mafuta, chips, hizi fast food, sijui makorokoro gani.
 
Mazoezi hayasaidii kama huli vizuri...na diet za kushindia mboga na matunda ni wizi mtupu..we kandamiza protein tu..kula sana white meat...karanga..maziwa...Tena bila zoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…