Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana aiseeKwa kifupi ni kwamba hufanyi mazoezi yoyote wewe!!.....Mazoezi ya kupunguza mwili siyo kitu kirahisi kama kula pilau la xmas!!......Wewe unaenda kucheza cheza then unasema kuwa unafanya mazoezi???[emoji32][emoji32][emoji32]
ulipunguaje? nataka kupungua sana tumboUsikate tamaa mkuu.
Mtafute Dr. Boaz Mkumbo MD atakusaidia
Utampata Facebook pia Youtube ana channel yake, vilevile anavitabu vyenye maelekezo ya kupungua, chukua namba kwenye page yake mtafute atakuelekeza ofisini kwake mwananyamala.
Jamaa amesaidia wengi kupunguza uzito wa mwili pamoja na kuondokana na magonjwa ya kisukari, pressure, ngozi etc kwa kutumia mwongozo wake wa "HEALTHY EATING ACADEMY (HEA)"
Kwa kifupi unatakiwa kukwepa kabisa vyakula vya sukari & wanga.
Utapungua hata bila ya mazoezi
Lakini ukifuata lishe pamoja na mazoezi utapungua kwa speed.
Kasi ya kupungua & kupona figisu za mwili inatofautiana kati ya mtu na mtu, kuna mtu ndani ya wiki 2 anaona matokeo, mwengine hadi baada ya miezi kadhaa ndipo ataona matokeo.
Pia kua makini matapeli ni wengi, wengine tulikua wanafunzi wake na tunajidai kukomboa watu kwa mgongo wa jamaa.
YOTE KWA YOTE UNATAKIWA UKAZE UZI KWELIKWELI ILI KUFIKIA MALENGO, SIO KITU RAHISI
Binafsi nilipunguza kilo 11 ndani ya siku 100
Hahahahaha Wewe una kilogiramu ngapi rafiki??Kwa kifupi ni kwamba hufanyi mazoezi yoyote wewe!!.....Mazoezi ya kupunguza mwili siyo kitu kirahisi kama kula pilau la xmas!!......Wewe unaenda kucheza cheza then unasema kuwa unafanya mazoezi???[emoji32][emoji32][emoji32]
kwahiyo akitoka tizi ashushie na sprite au pepsi baridi? huku sahani la ubwabwa likimngojea.Hakuna dkt wa kupunguza mwili mjomba. Kikubwa cha kufanya ni zoezi, zingatia chakula bora, muda wa kupumzika na kiwango cha maji unachokunywa. Na kutoa nafasi kati ya maji na chakula.
Mtu anachoma calories 160 ila menu kwa siku ukijumlisha na monde inagonga calories 2,800. Hapo kitambi na unene utabakia kusema ni "wa asili"Mazoezi ni taaluma!
Kama kwenye Mazoezi yako unachoma Calories 120 Halafu unatupia msosi Wenye calories 130 utapunguaje?
Fanya diet,...Habari wakuu wa humu JF,Mimi ni mnene sana Nina 105 kg nimepima Juzi.
Najitahidi sana kufanya Mazoezi lakini sipungui,Kwa kweli nauchukia unene kuliko kitu chochote na mbaya zaidi Nina kisukari nashangaa wagonjwa wenzangu wakipungua na wako na mwili mzuri.
Je Kwanini Mimi Mazoezi hayanisaidii?
PUNGUZA KG 5 KWA SIKU 7.Habari wakuu wa humu JF,Mimi ni mnene sana Nina 105 kg nimepima Juzi.
Najitahidi sana kufanya Mazoezi lakini sipungui,Kwa kweli nauchukia unene kuliko kitu chochote na mbaya zaidi Nina kisukari nashangaa wagonjwa wenzangu wakipungua na wako na mwili mzuri.
Je Kwanini Mimi Mazoezi hayanisaidii?