ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Ila we jamaa ni kima sana. Hivi una Christmass hapa mjini? Wakati mwingine jaribu kukaa kimya kuficha ujuha wako.Wewe pumbavu kijichi sehemu ipi kuna bahari? Mgeni nani na Mbagala kuu? Wadanganye wasukuma wenzio.
Kwa taarifa yako mimi nakaa Chekechea mikwambe njia napita kila siku ni hiyo ya kijichi, Mgeni, Mbagala kuu natokea Zakhiem.
Ukiwa hujui jambo kaa kimya. Sasa niambie bahari ipo sehemu gani?
Kwahiyo mpaka mjomba wangu ni mlalahoi?![emoji849][emoji849]Wengi walala hoi wanaishi huko
KImara na Madale kuna fukwe ngapi mkuu?Wadau hamjamboni nyote?
Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.
~ Huko hakuna hoteli ya kitalii.
~ Huko hakuna beach.
~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
~ Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
~ Huko muda wote kuna msongamano.
~ Huko muda mwingi huwezi ona mtu kavaa suti na briefcase.
Nauliza kwanini iwe hivyo? Ni bahati mbaya?
Waku karibuni tujadili.
Hata mm nahisi hivyoHuenda shuleni alisomea ujinga.
uku tunakaa wabeba tofarWadau hamjamboni nyote?
Nimerudi kwenu kwa mada mpya kidogo ihusuyo ene la Mbagala.
~ Huko hakuna hoteli ya kitalii.
~ Huko hakuna beach.
~ Huko hakuna makazi maalimu ya wakubwa.
~ Huko hali hewa ni joto muda Mwingi.
~ Huko muda wote kuna msongamano.
~ Huko muda mwingi huwezi ona mtu kavaa suti na briefcase.
Nauliza kwanini iwe hivyo? Ni bahati mbaya?
Wakuu karibuni tujadili.
HujitambuiNaulizia kuhusu Mbagala siyo Dodoma
Mamdogo jikite kwenye hoja acha mipasho. Wengine hatutumii hiyo bidhaa yako.Ila we jamaa ni kima sana. Hivi una Christmass hapa mjini? Wakati mwingine jaribu kukaa kimya kuficha ujuha wako.
Yaani kama hujatokea Kigomaa wewe, basi utakuwa Muhaya
Sasa umeshaujua mji kidogo bwana mdogo?Kij
Pumbavu kumbe unakaa mbagala kwa wajinga
Kanifurahisha anabisha Kwa confidence Kijichi hamna bahari ,hii nchi ngumu sana😅😅🤦Ila we jamaa ni kima sana. Hivi una Christmass hapa mjini? Wakati mwingine jaribu kukaa kimya kuficha ujuha wako.
Yaani kama hujatokea Kigomaa wewe, basi utakuwa Muhaya