Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Tatizo la Mbeya siyo baridi. Baridi haileti weusi. Tatizo ni jua. Jua la Mbeya linachoma kama juu wameweka magnifying lens.

Linachoma namna hiyo. Sehemu kama Dar, humidity inasaidia sana kupunguza uchomaji wa jua.

Inaonekana Mbeya humidity ipo chini. Ukienda sehemu kama Kyela karibu na ziwa utakuta watu si weusi sana.
 
Niko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Kushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.
Nenda Kyela wamejaa kibao weupe, tena weupa kama warangi au wambulu
 
Back
Top Bottom