🤣🤣 We utapiganaje na mwanamke.. Mi mwenyewe sikubali lazima nijiteteeNa huwezi kumpiga kofi ,yananguvu kama madume,ukizingua useme mpigane anakupiga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 We utapiganaje na mwanamke.. Mi mwenyewe sikubali lazima nijiteteeNa huwezi kumpiga kofi ,yananguvu kama madume,ukizingua useme mpigane anakupiga.
Sidhani kama kuna ukweli katika hili nimekaa kyela muda mwingi wengi wapo kwenye ndoa zao vijijini tena wakarimu kweli. Ila kwenye kuzinguana hawana mchezo.Halafu mwanamke wa Mbeya huwa hadumu kwenye ndoa sababu ya ujuaji, na hawataki kujishusha hata aharibu vipi. Hivyo ukioa Mbeya ujue utakaliwa kichwani au muishi as per yaaani lakini sio eti ulete ile dhana ya Mume ni Kichwa
Sidhani kama kuna ukweli katika hili nimekaa kyela muda mwingi wengi wapo kwenye ndoa zao vijijini tena wakarimu kweli. Ila kwenye kuzinguana hawana mchezo.
Wavumilivu ila hawapendi ujingaSidhani kama kuna ukweli katika hili nimekaa kyela muda mwingi wengi wapo kwenye ndoa zao vijijini tena wakarimu kweli. Ila kwenye kuzinguana hawana mchezo.
Anamyejua baba wa mtoto ni Mungu na mama mzazi...wote baba zao niwanyakyusa wa mwakaleli
Hata yule alieimba mzee tupatupa alikua ana mali nyingyule muimba gospel gwamaka mwakilinga mbona mweupe. au sio pure mnyakyusa?.
Kuna factors zingine. Wewe hapa uliongelea ubaridiManyara ,morogoro,sio pwani
Hii nadharia yako sidhani kama ina ukweli,yaani watu wamekuwa weupe kwa sababu kuna wakoloni walipita huko ndio wakawa hivyo,vipi wale wahindi weusi kule India nako ni vipi mkuu,Sudan pia ilitawaliwa na waingereza nako unasemaje mkuu...!Waafrika asili ni weusi. Ila bara letu la Afrika limetawaliwa sana na mataifa ya wazungu na waarabu . Hawa ndio wamechangia kuongeza vionjo vya rangi za Waafrika. Sehemu nyingi nchini/wilaya ambazo wamisionari, makanisa ya mwanzo, wagiriki, wahindi, wachina na waarabu wameishi au kupita utakuta waafrika wenye vionjo vya rangi mbalimbali ambazo siyo za asili- hii ndiyo Afrika yetu. WaTanzania hatuna kawaida ya kuringia au kuulizana rangi ya mtu. Huu ushamba wa kuulizana rangi unatoka wapi? Inatukumbusha ukoloni ambambo watu waliwekwa kwenye tabaka fulani kutokana na rangi ya ngozi yao.
HehehKama wewe ni mweupe basi mimi ni mwekundu. Ukiona mnyakyusa mweupe basi ujue mama alichepuka...
Kama nakupata,umejibu kisayansi,vipi milima ya usambaraMikoa ya mbeya iringa inaitwa nyanda za juu kusini.. ukipima kutoka usawa wa bahari inaenda mpaka 2000m.. sasa imagine uko dar halaf upande gorofa lenye urefu wa kilomita 2 kwenda juu. Hilo jua lake si mcjezo na barid kali.. kwahyo ngozi inalinda mwili dhidi ya miozn ya jua kutengeneza kitu inaitwa melanin ambayo ndo rang yenyew nyeus sasa.. ndio mana watu waishio along ikweta ni weus sana sabab ya jua.. na ndomana huyo huyo mweus tii akiondoka maeneo hayo kwa muda akija ambako jua si kal.. utaona anaanza kungaa flani... Hilo ndo jibu sahih.. ishu si barid
Kadi ya NIDA unachoHeheh
Wapo bana.
Sisi kwenye ukoo wetu nina babu Mjerumani kwa asili aliitwa Jurgen. Jina la ukoo sikutajii usije ukaniuza kwa wasiojulikana🤣
[emoji38][emoji38][emoji38]Niko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.
Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe? Na Ulaya je wasemeje?
Tupeni sababu za kisayansi.
Ni mbegu tu MpwaNiko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.
Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe? Na Ulaya je wasemeje?
Tupeni sababu za kisayansi.
Sio kweli kadiri unavyokwenda juu ya usawa wa bahari joto linapungua baridi inaongezeka. Watu walioko dar ndio wanatakiwa kuwa weusi zaidi kuliko walioko mbeya mzee acha kutupiga kamba. Hapa zinatakiwa sababu za kisayansi kuelezea huo mkanganyikoMikoa ya mbeya iringa inaitwa nyanda za juu kusini.. ukipima kutoka usawa wa bahari inaenda mpaka 2000m.. sasa imagine uko dar halaf upande gorofa lenye urefu wa kilomita 2 kwenda juu. Hilo jua lake si mcjezo na barid kali.. kwahyo ngozi inalinda mwili dhidi ya miozn ya jua kutengeneza kitu inaitwa melanin ambayo ndo rang yenyew nyeus sasa.. ndio mana watu waishio along ikweta ni weus sana sabab ya jua.. na ndomana huyo huyo mweus tii akiondoka maeneo hayo kwa muda akija ambako jua si kal.. utaona anaanza kungaa flani... Hilo ndo jibu sahih.. ishu si barid
🤣 🤣🤣🤣🤣. Mke anapokuwa mbabe hata maana ya mke inafutika. Yaani unaishi tu na mdau mwenzakoNa huwezi kumpiga kofi ,yananguvu kama madume,ukizingua useme mpigane anakupiga.
Weupe wa asili wapo nilikua na Goma mitaa ya Soweto ng'aring'ariNiko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.
Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe? Na Ulaya je wasemeje?
Tupeni sababu za kisayansi.
Alibadilika huyoKuna Mwanafyare mmoja hapa Kanda ya ziwa ni mweupe bana au alibadilika baada ya kukaa sana huku?! Lakini ukweli kutoa huyo jamaa nikimuangalia Mwakalambile, Mwanjabe, Mzee Ndile na hata wale madem Tusajigwe na Anganile wote weusi tii asee!! 🤣
Mama yake alichepukaWeupe wa asili wapo nilikua na Goma mitaa ya Soweto ng'aring'ari
Na huwezi kumpiga kofi ,yananguvu kama madume,ukizingua useme mpigane anakupiga.