- Thread starter
- #61
Tupe hizo factors mkuuKuna factors zingine. Wewe hapa uliongelea ubaridi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe hizo factors mkuuKuna factors zingine. Wewe hapa uliongelea ubaridi
Inazungumzwa jua kali si joto. Hii ni kama ilivyo kwa watibet wa Himalaya. Wako juu milimani. Kuna baridi kali na barafu mwaka mzima. Ila ukiwafananisha na wakazi wa China wa uwanda wa chini utaona watibeti wana weusiweusi. Kule juu japo kuna baridi lakini jua lake ni la kuchoma.Sio kweli kadiri unavyokwenda juu ya usawa wa bahari joto linapungua baridi inaongezeka. Watu walioko dar ndio wanatakiwa kuwa weusi zaidi kuliko walioko mbeya mzee acha kutupiga kamba. Hapa zinatakiwa sababu za kisayansi kuelezea huo mkanganyiko
Tupe hizo factors mkuu
Vipi kuhusu Lushoto iko milimani kabisa ila watu wana kaweupeInazungumzwa jua kali si joto. Hii ni kama ilivyo kwa watibet wa Himalaya. Wako juu milimani. Kuna baridi kali na barafu mwaka mzima. Ila ukiwafananisha na wakazi wa China wa uwanda wa chini utaona watibeti wana weusiweusi. Kule juu japo kuna baridi lakini jua lake ni la kuchoma.
Maeneo ya uwanda wa chini au pwani jua halichomi sababu ya humidity.
AswaaaaWewe kwenye ukoo wenu wote weupe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati bukuku alikuwa mweusi tii album ya kwanza sasa hivi ni mzungu pori .usiwaamini sana wasanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKama wewe ni mweupe basi mimi ni mwekundu. Ukiona mnyakyusa mweupe basi ujue mama alichepuka...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mke anapokuwa mbabe hata maana ya mke inafutika. Yaani unaishi tu na mdau mwenzako
Usitake nikutukaneAswaaaa
wewe ni mweupe kwenye nnya tuMimi mweupe mbona?
Inawezekana kuwa karibu na pwani Lushoto humidity ni kubwa. Pia kuna genetic. Wasambaa husemwa ni wa kush kama wanyaturu. Hawa wana weupe wao.Vipi kuhusu Lushoto iko milimani kabisa ila watu wana kaweupe
Ukitaka kujua uhalisia wa vinasaba lazima uvipime - hapa naelezea mchango wa kutawaliwa na utumwa katika kubadilisha muonekano wa rangi za Waafrika. Kumbuka mwanaume mmoja tu anayekula vizuri chakula ( wageni walikuwa na utajiri sana) anaweza kuzalisha wanawake wengi sana. Hawa wanaume wa Kizungu au Kiarabu walikuwa wanakuja peke yao huku Afrika- enzi zile wanawake wa Afrika walikuwa wanajifunika majani tu - unategemea nini kilikuwa kinatokea ukifikiria mwili wa mwanamke wa Kiafrika ulivyoumbika - maziwa na chuchu nje , ilikuwa kamata kamata isiyo na kipimo .Hii nadharia yako sidhani kama ina ukweli,yaani watu wamekuwa weupe kwa sababu kuna wakoloni walipita huko ndio wakawa hivyo,vipi wale wahindi weusi kule India nako ni vipi mkuu,Sudan pia ilitawaliwa na waingereza nako unasemaje mkuu...!
Lushoto sio pwani.Tanga pwani ujue. Mbeya umeona Kuna bahari au Iko ukanda wa Pwani?