Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Niko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.

Mbona Kushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.
Waafrika asili ni weusi. Ila bara letu la Afrika limetawaliwa sana na mataifa ya wazungu na waarabu . Hawa ndio wamechangia kuongeza vionjo vya rangi za Waafrika. Sehemu nyingi nchini/wilaya ambazo wamisionari, makanisa ya mwanzo, wagiriki, wahindi, wachina na waarabu wameishi au kupita utakuta waafrika wenye vionjo vya rangi mbalimbali ambazo siyo za asili- hii ndiyo Afrika yetu. WaTanzania hatuna kawaida ya kuringia au kuulizana rangi ya mtu. Huu ushamba wa kuulizana rangi unatoka wapi? Inatukumbusha ukoloni ambambo watu waliwekwa kwenye tabaka fulani kutokana na rangi ya ngozi yao.
 
Umeanza vizuri kisayansi ukamalizia kisiasa.lazima ujue umetoka wapi uko wapi na kwa nini upo hapo kama ulivyo,kuna watu weusi USA lazima ujue walitoka wapi,kuna weusi australia ,india nk.kujua asili yao sio dhambi ndio elimu
 
Elimu isiyo na manufaa ipuuzwe.
 
Niko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.

Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.
Kasimame njiapanda ya uhindini na uzunguni pale kwenye kanisa la Anglikani utawaona watu weupe.
 
Niko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.

Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.
Makatapera , mafyulisi na kambani ndio sababu
 
Niko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.

Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.
unawakika unachongea au unaropoka dem wa mbeya amekuacha?? Mm nina ma dem3 wa nyakyusa wa mbeya niweupe htr ten wa asili
 
Na pia watu wa huko pua zao zinafanana sana chunguza kwa makini
 
Halafu mwanamke wa Mbeya huwa hadumu kwenye ndoa sababu ya ujuaji, na hawataki kujishusha hata aharibu vipi. Hivyo ukioa Mbeya ujue utakaliwa kichwani au muishi as per yaaani lakini sio eti ulete ile dhana ya Mume ni Kichwa
 
Na huwezi kumpiga kofi ,yananguvu kama madume,ukizingua useme mpigane anakupiga.
 
Walikumbatia ukabila wakaona wenyewe kwa wenyewe mnyakyusa kwa mnyaki au mswafa au mndali
Ila miaka 20 ijayo mbele watakua na rangi zote mana warangi wapare wachaga na hadi wapemba washaanza kula kina tuntufye
 
Back
Top Bottom