Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Niko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika. Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.

Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe?

Na Ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.
 
Tatizo la Mbeya siyo baridi. Baridi haileti weusi. Tatizo ni jua. Jua la Mbeya linachoma kama juu wameweka magnifying lens.

Linachoma namna hiyo. Sehemu kama Dar, humidity inasaidia sana kupunguza uchomaji wa jua.

Inaonekana Mbeya humidity ipo chini. Ukienda sehemu kama Kyela karibu na ziwa utakuta watu si weusi sana.
 
Niko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.

Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Kushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?

Tupeni sababu za kisayansi.
Nenda Kyela wamejaa kibao weupe, tena weupa kama warangi au wambulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…