Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Wapo mkuu
Zamani nikienda kijijini alikuwepo binti mzuri cheupe,aisee jamaa walivyokua wanajazana pale km nzi.
Ajabu mi nilikua najigongea tu migombani jioni nikifata maziwa.
Labda ugeni,na rangi brown mixer white vilisaidia
 
Sio kweli kadiri unavyokwenda juu ya usawa wa bahari joto linapungua baridi inaongezeka. Watu walioko dar ndio wanatakiwa kuwa weusi zaidi kuliko walioko mbeya mzee acha kutupiga kamba. Hapa zinatakiwa sababu za kisayansi kuelezea huo mkanganyiko
Akil yako ndogo sana mkuu... Soma nilichoandika mara mbil mbili.. umesoma hkl halaf unajifanya unajua.. aliesema kwamba ukienda juu joto linapungua nan.. nmekwambia.. kadiri unavyokwenda juu.. along ikweta unalikaribia zaid jua. Kwahyo linakuchoma zaid hata kama utasikia baridi ila jua litakuchoma zaid.. na lilikuchoma bas mwili utataka kujiprotect na hzo mionzi kwa kutengeneza melanin.

Pambaf.. hkl unanifundisha mim kuhusu sayansi
 
Vipi milima ya usambara, upareni, uluguru, milima ya meru nk.?

Kuna factor nyingine hujaigusia hapo nayo ni humidity. Naomba uielezee hiyo pia mkuu.
Ukiangalia topography ya eneo hilo utaona liko karib kabisa na bahari.. mfano sis tunaopita na ndege from dar to arusha ukiangalia chin wakay uko juu unaona kabisa milima iko alongo ocean line .. so eneo hilo lina himidity nzur .. unyevu unafanya ngoz iwe na maj haikauk so pia inasaidia. Ingawa hata hvyo.. kule ndomana kunaitwa nyanda za juu kusini.. ni kwamba kule kuko juu kwelkwel.. imagini unasafir.. unapanda milima kibao na bado unaenda panda mlima kitonga unaelekea huko juu zaid na zaid... Humiditu pia ni factor inachangia
 
Zamani nikienda kijijini alikuwepo binti mzuri cheupe,aisee jamaa walivyokua wanajazana pale km nzi.
Ajabu mi nilikua najigongea tu migombani jioni nikifata maziwa.
Labda ugeni,na rangi brown mixer white vilisaidia
Mwanamke mweusi hana soko afrika
 
Mitanganyika ya hovyo sana Leo mnaulizana rangi ndani ya nchi yenu barani Africa? Watu wakijichubua mnasema wakiwa walivyo mnasema.

What next utaanzisha Uzi kwanini Mbeya watu bado wanamajina yao ya asili na sio ya mizungu/miarabu? John Peter au Abdul Hussein?

I'd argue anyone mitanganyika ndo miwatu yenye inferiority complex kuliko nchi yeyote ile Africa.
 
Mwanamke mweusi hana soko afrika
Sio Africa tu hata Huko nje ndo kabisaa vijana 80% wanataka waoshe na color tu,hata awe mfilipino,mchina,mpoland mradi cheupe twende.
Akiwa na Mwafrika mwenzie ni almradi tu
 
Tatizo la Mbeya siyo baridi. Baridi haileti weusi. Tatizo ni jua. Jua la Mbeya linachoma kama juu wameweka magnifying lens.

Linachoma namna hiyo. Sehemu kama Dar, humidity inasaidia sana kupunguza uchomaji wa jua.

Inaonekana Mbeya humidity ipo chini. Ukienda sehemu kama Kyela karibu na ziwa utakuta watu si weusi sana.
Huko Kyela watu ni weusi kwenda mbele..ukikuta..mweupe basi mkorogo umehusika...
 
Nenda umalila wapo weupe kibao.
Mfano. Baraka mpenja[emoji123][emoji123]
Baraka mpenja ana weupe Gani??[emoji38][emoji38][emoji38]

Nakumbusha yule akija mbeya baada ya siku tatu atafanana na akina Mwaitubi, Mwailubi na kina Mwakapesa.
 
Ukiangalia topography ya eneo hilo utaona liko karib kabisa na bahari.. mfano sis tunaopita na ndege from dar to arusha ukiangalia chin wakay uko juu unaona kabisa milima iko alongo ocean line .. so eneo hilo lina himidity nzur .. unyevu unafanya ngoz iwe na maj haikauk so pia inasaidia. Ingawa hata hvyo.. kule ndomana kunaitwa nyanda za juu kusini.. ni kwamba kule kuko juu kwelkwel.. imagini unasafir.. unapanda milima kibao na bado unaenda panda mlima kitonga unaelekea huko juu zaid na zaid... Humiditu pia ni factor inachangia
Na ukiangalia, unakuta mtu. Anaishi 2000m kutoka usawa wa bahari. Maana yake amepoteza 2km za atmosphere ambazo zinamlinda na jua kali. Hapo lazima awe mweusi tu.
 
Back
Top Bottom