Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

Heheh
Wapo bana.

Sisi kwenye ukoo wetu nina babu Mjerumani kwa asili aliitwa Jurgen. Jina la ukoo sikutajii usije ukaniuza kwa wasiojulikana🤣
Naja kuchumbia kwenu
 
Yule afande alieokoa fedha Ubungo miaka ya nyuma kutoka kwa majambazi ni Mnyakyusa, Watoto wake weupee
 
Mbeya kila kitu kipo at extreme.

Jua la Mbeya linachoma kwelikweli lakini hakuna joto.

Hewa yake Haina unyevu unyevu ni Ile hewa kavu.

Hata mvua huku ilianza, ni Ile mvua bandika bandua.

Baridi ya Mbeya ni ile Kali inayoumiza mpaka mifupa, yaani ukitoka dar kuja Mbeya lazima ubabuke kuanzia Ngozi ya uso mpaka mdomo. Yaani ukiingia toka dar tunajua Mwana umetika bongo, Sasa karibu uungue.

Kuna kitu naona hujakigusia, huku Ndevu kwa Wanawake ni jambo la kawaida yaani unakuta mtoto Mungu amemjaalia mashaallah Tako Hilo, kifua hicho ila kidevu kimejaa ndevu na kifua.

Huku makalio kila mwanamke anayo sio issue yaani hakuna pasi kama ukanda wa Mashariki.

Huku ni kujichubua tu, bila hivyo awe Mnyakyusa, Msafwa, Mmalila na Msangu wote ni weusi tii, tena weusi wao ni ule wa kufubaa tofauti na Iringa.

Matumbo, huku Wanawake ni ufahari kufuga tumbo yaani akiwa na uwezo vile vitenge vya Kongo kinazungushwa mara moja.

Nawakumbusha Wana maumbo makubwa na nguvu hivyo ukiwa lonyolonyo utadharirika brother.

Umalaya yaani akikutambulisha huyu ni Mkaka gwangu Kaa chonjo ujue mtu ataliwa kimasikhara muda wowote.

Wanawake wa Mbeya wanajishughulisha na kumlisha Mwanaume ni ufahari.

Kupendwa kwa Wanaume kutoka maeneo mengine kwa sababu wanaoa haraka, wanaume wa huku wanawakimbia.

Wana tabia ya kukatalia ndani, kumbuka ni Bora umpeleke guest kuliko ghetto kwako hata kama unapiga kimasikhara.

Wanampenda Mungu sawasawa na ulozi yaani kiwango Cha Mungu na Shetani vinafanana.

Ogopa Nondo hasa mjini, huku hakuna Ngeta au roba ya Mbao.
Wanakupiga Nondo ukafie mbele na kesho Biashara zinachangamka.

Joto la mbeya,Njombe linafifisha, na ndilo Jiji lenye baridi Kali zaidi Tanzania.

Ila yapo maeneo yenye baridi Kali zaidi ndani ya Mkoa wa Mbeya kuliko mjini, maeneo kama Isyonje, Kawetere, Igoma na Tukuyu ambayo ni ukanda mmoja na Makete.
 
Tufanye kweli hawapo, haya wasipo kuwepo wanapata hasara gani na wewe mweupe Unapata faida ipi?

Mataahira hawataisha Nchi hii.
Mbona yule zuzu sa100 anajiona kuwa na akili kuliko Nyerere na magufuli kisa ni anajiona mwarabu koko hadi kazuia hotuba za nyerere na jpm zisisikike popote nchini na kumwona julias kambarage nyerere kuwa ni mpumbavu kwa kuzuia uchifu ...au hii hoja yako haihusu waarabu koko yaheeee
 
Waafrika asili ni weusi. Ila bara letu la Afrika limetawaliwa sana na mataifa ya wazungu na waarabu . Hawa ndio wamechangia kuongeza vionjo vya rangi za Waafrika. Sehemu nyingi nchini/wilaya ambazo wamisionari, makanisa ya mwanzo, wagiriki, wahindi, wachina na waarabu wameishi au kupita utakuta waafrika wenye vionjo vya rangi mbalimbali ambazo siyo za asili- hii ndiyo Afrika yetu. WaTanzania hatuna kawaida ya kuringia au kuulizana rangi ya mtu. Huu ushamba wa kuulizana rangi unatoka wapi? Inatukumbusha ukoloni ambambo watu waliwekwa kwenye tabaka fulani kutokana na rangi ya ngozi yao.
Wajinga hawajui
 
What matters is the level of humidity in the region. The higher the humidity level the lower sun-skin burning and vice versa. Ukienda maeneo yaliyochini kama Kyela humidity ipo juu na wanyakyusa weupe wapo wengi tu tofauti na maeneo yaliyo juu kama Tukuyu na maeneo mengine Mbeya.
 
Back
Top Bottom