Kwanini Mbeya licha ya kuwa namba 3 kwa kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa stendi ya Kisasa?

Kwanini Mbeya licha ya kuwa namba 3 kwa kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa stendi ya Kisasa?

Kabisa. Nilijua lile eneo la shamba la uyole tayari liko mbioni kulifanya mji wa kisasa?. Tena ingependeza sana ksbb ni kubwa halafu liko usoni kabisa mwa mji. (Labda kweli wavutr subira kidogo na mimi nipate hela wakifikia kubinafsisha hapo na mimi niwe sehemu ya kukaba eneo hapo)
Bashe mshenzi alikataa mpuuzi kabisa yule,aletwe Waziri Mwingine
 
Daaah mkoa wangu stand hatuna Aisee.Nilipita stand kuku ya Dodoma aiseee inavutia kwa kweli.hamuwezi mkaamini jamani juzi niliingia stand kuu yetu ya Mbeya nilikuta Makonda wa mule stand wanamkimbiza ndege aina ya kwale Yaani miundombinu ni mibovu ya stand mpaka kwale wanataga mayai
 
Majiji yote makubwa na Mikoa Maarufu Ina Standi Kuu za Kisasa kabisa na Sasa Arusha inaenda Kujengwa Standi Kubwa lakini hakuna ambae anataja Mbeya.

On top of that Barabara za mitaani ndio kabisaa ni vumbi tupu.Nikajua Tactic itakuja na package nzuri ya Barabara za mitaa kumbe hole,eti Km 12 ni nini kwenye Jiji lililojaa vumbi Kila sehemu? Nikaangamia stand hakuna Cha maana zaidi ya blaa blaa ya kastendi Cha daladala Airport ya zamani.

Tanga Ina Standi kubwa ya Kange.

Mwanza ina Standi Kubwa 2.

Dodoma ina Standi Kubwa Nanenane.

Dar ndio usiseme kuna Magufuli, Mwenge nk

Morogoro kuna Msanvu.

Iringa Kuna Stand kubwa.

Sumbawanga Kuna Standi Kubwa ya Katumba

Arusha ndio hiyo inaenda kujengwa Pale Bondeni City

View attachment 2761477

Swali: Kwa nini Mbeya licha ya kuwa Jiji, Namba 3 kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa Stand kubwa na ya Kisasa yenye hadhi ya Jiji? Kwa nini hakuwekwi Mpango wa Barabara za mitaa za kutosha?

My Take
Mbeya kuwa na kina Mwambukusi wengi isiwe ndio fimbo ya kuadhibu watu wake.

=====

"Pia kuna stendi za mabasi kwa sababu Miji inakuwa na mahitaji ya Stendi pia ni makubwa tunakwenda kujenda stendi za mabasi 26. Ile stend ya Mabasi ya Arusha ipo katikati ya Mji halafu ni ndogo sana. Mahitaji ni makubwa kwahiyo tunakwenda kujenga stendi kubwa sana Jijini Arusha" Humphrey Kanyeye - Mratibu wa Miradi ya Benk ya Dunia -TARURA
Magufuli alikuwa na roho mbaya sana yaani Arusha hakutaka kujenga stand ila Mwanza kapeleka miradi kibao japo bado mwanzo haizalishi hata nusu ya kipato cha Arushs
 
Nasikia mbeya mnaogopa kujenga maghorofa
Mbeya ya wapi hiyo wanaogopa? Hapa ni wapi? 👇👇
1093919163.jpg
1472325034.jpg
-156349870.jpg
-1234268646.jpg
20240203_172011.jpg
20240125_071454.jpg
 
Majiji yote makubwa na Mikoa Maarufu Ina Standi Kuu za Kisasa kabisa na Sasa Arusha inaenda Kujengwa Standi Kubwa lakini hakuna ambae anataja Mbeya.

On top of that Barabara za mitaani ndio kabisaa ni vumbi tupu.Nikajua Tactic itakuja na package nzuri ya Barabara za mitaa kumbe hole,eti Km 12 ni nini kwenye Jiji lililojaa vumbi Kila sehemu? Nikaangamia stand hakuna Cha maana zaidi ya blaa blaa ya kastendi Cha daladala Airport ya zamani.

Tanga Ina Standi kubwa ya Kange.

Mwanza ina Standi Kubwa 2.

Dodoma ina Standi Kubwa Nanenane.

Dar ndio usiseme kuna Magufuli, Mwenge nk

Morogoro kuna Msanvu.

Iringa Kuna Stand kubwa.

Sumbawanga Kuna Standi Kubwa ya Katumba

Arusha ndio hiyo inaenda kujengwa Pale Bondeni City

View attachment 2761477

Swali: Kwa nini Mbeya licha ya kuwa Jiji, Namba 3 kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa Stand kubwa na ya Kisasa yenye hadhi ya Jiji? Kwa nini hakuwekwi Mpango wa Barabara za mitaa za kutosha?

My Take
Mbeya kuwa na kina Mwambukusi wengi isiwe ndio fimbo ya kuadhibu watu wake.

=====

"Pia kuna stendi za mabasi kwa sababu Miji inakuwa na mahitaji ya Stendi pia ni makubwa tunakwenda kujenda stendi za mabasi 26. Ile stend ya Mabasi ya Arusha ipo katikati ya Mji halafu ni ndogo sana. Mahitaji ni makubwa kwahiyo tunakwenda kujenga stendi kubwa sana Jijini Arusha" Humphrey Kanyeye - Mratibu wa Miradi ya Benk ya Dunia -TARURA
Hatimaye Stand ya Mbeya mpyaa kujengwa 👇👇
Screenshot_20240124-052852.jpg
 
Toka lini mbeya imekuwa no3 kwa kuchangia uchumi?
We chalii wa Arusha hakuna kitu unajua zaidi ya kuvaa maviatu Yale ya matajiri yenu makuuubwa 😆😆

Usilete mchezo na Mbeya ni Moja ya Mkoa ambayo uchumi wake unaenda kujenga Dar,Dom na Arusha huko ambako bila mbeleko ya Serikali hakuna kitu.

Takwimu hizi hapa kutoka BoT 👇👇
Screenshot_20240219-082139.jpg
Screenshot_20240219-082218.jpg

Na Kwa taarifa Yako tuu takwimu za 2023 zikitoka tunaingia kwenye kundi la Mikoa 3 iliyovuka GDP ya over 10 Trilion.
 
Huwa anapambana bwana japo kigogo ndio yupo peke yake
Sema nnachoupendea mkoa wa mbeya ni kwamba uchumi upo Kila wilaya,ukienda kyela,rungwe chunya mbarali kote kunajiweza na Kuna fursa nyingi,tofauti na mikoa mingine yani mkoani ndio kunakuwa vzuri na uwiano na wilaya zake haipo,lakin mkoa wa mbeya ni wilaya zote tu zinajiweza
 
Mwanza yenyewe imepata juzi tu, haikuwa na stand ya maana jumlisha na ile airport ambayo ujenzi huwa hauishi kwa miaka kiasi songwe ulijengwa hadi ukamalizika lakini hamna kitu. Na usishangae hata msalato utauacha pia

Japo baadhi ya mikoa mfano mbeya kuwa overlooked sio story mpya. Anko magu kidogo ndo aliwekeza jicho mkoani tofauti na enzi za kila kitu dar
Mwanza Airport ngojera hadi leo.TAA pamoja na kukabidhiwa bado bure
 
Sema nnachoupendea mkoa wa mbeya ni kwamba uchumi upo Kila wilaya,ukienda kyela,rungwe chunya mbarali kote kunajiweza na Kuna fursa nyingi,tofauti na mikoa mingine yani mkoani ndio kunakuwa vzuri na uwiano na wilaya zake haipo,lakin mkoa wa mbeya ni wilaya zote tu zinajiweza
Hiyo ndio tofauti ya Mbeya na Mikoa mingine.

Kila Kona Iko liveable ,you can make life popote.Ndio maana mtu ukimwambia Mbeya ni namba 3 Kwa Uchumi Tanzania anashangaa yaani aliyegemea Kila kitu kirundikane Jijini ndio aone Ile taswira waliyozoea Mikoa kama Mwanza,Dodoma,Arusha nk..

Maendeleo ya Mbeya yamesambaa ndio maana Kila Makao Makuu ya Wilaya Yana Usafari wa Mabasi makubwa kwenda Dar na Mikoa mingine.

Sijawahi Ona Bus linatoka Sengerema-Dar 🤣🤣🤣 au Longido Dar 😁😁

Mbeya Dar
Ubaruku(Mbarali) Dar
Chunya Dar
Rungwe Dar
Kyela Dar etc etc
 
Mwanza Airport ngojera hadi leo.TAA pamoja na kukabidhiwa bado bure
Ngonjepa wapi wakati mama amemwaga pesa kazi ya new terminal building na Upanuzi wa runway ikiwemo ujenzi wa cold rooms na hotel unaendelea?
 
We chalii wa Arusha hakuna kitu unajua zaidi ya kuvaa maviatu Yale ya matajiri yenu makuuubwa 😆😆

Usilete mchezo na Mbeya ni Moja ya Mkoa ambayo uchumi wake unaenda kujenga Dar,Dom na Arusha huko ambako bila mbeleko ya Serikali hakuna kitu.

Takwimu hizi hapa kutoka BoT 👇👇View attachment 2911774View attachment 2911775

Na Kwa taarifa Yako tuu takwimu za 2023 zikitoka tunaingia kwenye kundi la Mikoa 3 iliyovuka GDP ya over 10 Trilion.
Mkuu zile viatu vikubwa ni culture sio kuwa hatuna hela hata billionaire laizer anava mbona 😄 🤣 😂 😆 😄.
Hapo kwenye GDP per capital ndio naelewa Mbeya maisha ni ya nafuu sana kupita mikoa mingi naelewa. Unegundua per capita na domestic product sehemu nyingi hazi correlate?? Angalia Mwanza kwa mfano GDP kubwa na Umaskini mkubwa vile vile Kudos Mbeya kwa hilo
 
Ngonjepa wapi wakati mama amemwaga pesa kazi ya new terminal building na Upanuzi wa runway ikiwemo ujenzi wa cold rooms na hotel unaendelea?
Mkuu Mbeya mmepewa international Airport bure lakin nyie mnagombania new force na sauli 😄 🤣 😂 😆 wangetupa Arusha hiyo sisi pale flights 150 kwa siku
 
Mkuu zile viatu vikubwa ni culture sio kuwa hatuna hela hata billionaire laizer anava mbona 😄 🤣 😂 😆 😄.
Hapo kwenye GDP per capital ndio naelewa Mbeya maisha ni ya nafuu sana kupita mikoa mingi naelewa. Unegundua per capita na domestic product sehemu nyingi hazi correlate?? Angalia Mwanza kwa mfano GDP kubwa na Umaskini mkubwa vile vile Kudos Mbeya kwa hilo
Mwanza Ina GDP kubwa kulinganisha na Mikoa mingine apart from Dar lakini Kwa idadi Ile ya watu walitakiwa wawe ya GDP karibu na Dar ndio ingefanya maisha mazuri yaani wawe na average ya per Capita kuanzia 4M kwenda Juu.

Mwisho Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ndio GDP Ina uhusiano na life directly maana huku hatutegemei GGM au Ngorongo Bali tunalima na pesa Zinaenda kwetu Moja kwa Moja.

My Take: Kacha zingine ni za kisengerema 🤣🤣
 
Back
Top Bottom