ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Culture is always good as long as it doesn't harm labda ukeketaji ndio Culture mbaya ila kubeba sime hatuachi mwanaume huwezi ukatembea huna silaha huku unajiamini.Mwanza Ina GDP kubwa kulinganisha na Mikoa mingine apart from Dar lakini Kwa idadi Ile ya watu walitakiwa wawe ya GDP karibu na Dar ndio ingefanya maisha mazuri yaani wawe na average ya per Capita kuanzia 4M kwenda Juu.
Mwisho Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ndio GDP Ina uhusiano na life directly maana huku hatutegemei GGM au Ngorongo Bali tunalima na pesa Zinaenda kwetu Moja kwa Moja.
My Take: Kacha zingine ni za kisengerema 🤣🤣
Niko nyanda za juu kusini kwa sasa from my observation huku maisha ya mtu mmoja mmoja yana unafuu kupita sehem nyingi za Tanzania. Maeneo mengi ni agrarian ( hamna viwanda/mara nyingi viwanda hugusa baadhi tu ya watu) kilimo huku cha uhakika mvua haigomi sana.