Kwanini Mbeya licha ya kuwa namba 3 kwa kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa stendi ya Kisasa?

Bashe mshenzi alikataa mpuuzi kabisa yule,aletwe Waziri Mwingine
 
Daaah mkoa wangu stand hatuna Aisee.Nilipita stand kuku ya Dodoma aiseee inavutia kwa kweli.hamuwezi mkaamini jamani juzi niliingia stand kuu yetu ya Mbeya nilikuta Makonda wa mule stand wanamkimbiza ndege aina ya kwale Yaani miundombinu ni mibovu ya stand mpaka kwale wanataga mayai
 
Magufuli alikuwa na roho mbaya sana yaani Arusha hakutaka kujenga stand ila Mwanza kapeleka miradi kibao japo bado mwanzo haizalishi hata nusu ya kipato cha Arushs
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† mkuu sijafika mbeya kiukweli ila hizi hotels mbona ni kama zile kwa Arusha ni za alfu 30 hadi 35?!!!
Huna hata uwezo wa Kulipia Bora usije utaaibika
 
Yule mama akson anachekacheka tuπŸ™„πŸ™„πŸ™„ wakati wenzake wote wanaangalia kwao tu yaani amezubaa sana
 
Hatimaye Stand ya Mbeya mpyaa kujengwa πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Toka lini mbeya imekuwa no3 kwa kuchangia uchumi?
We chalii wa Arusha hakuna kitu unajua zaidi ya kuvaa maviatu Yale ya matajiri yenu makuuubwa πŸ˜†πŸ˜†

Usilete mchezo na Mbeya ni Moja ya Mkoa ambayo uchumi wake unaenda kujenga Dar,Dom na Arusha huko ambako bila mbeleko ya Serikali hakuna kitu.

Takwimu hizi hapa kutoka BoT πŸ‘‡πŸ‘‡

Na Kwa taarifa Yako tuu takwimu za 2023 zikitoka tunaingia kwenye kundi la Mikoa 3 iliyovuka GDP ya over 10 Trilion.
 
Huwa anapambana bwana japo kigogo ndio yupo peke yake
Sema nnachoupendea mkoa wa mbeya ni kwamba uchumi upo Kila wilaya,ukienda kyela,rungwe chunya mbarali kote kunajiweza na Kuna fursa nyingi,tofauti na mikoa mingine yani mkoani ndio kunakuwa vzuri na uwiano na wilaya zake haipo,lakin mkoa wa mbeya ni wilaya zote tu zinajiweza
 
Mwanza Airport ngojera hadi leo.TAA pamoja na kukabidhiwa bado bure
 
Hiyo ndio tofauti ya Mbeya na Mikoa mingine.

Kila Kona Iko liveable ,you can make life popote.Ndio maana mtu ukimwambia Mbeya ni namba 3 Kwa Uchumi Tanzania anashangaa yaani aliyegemea Kila kitu kirundikane Jijini ndio aone Ile taswira waliyozoea Mikoa kama Mwanza,Dodoma,Arusha nk..

Maendeleo ya Mbeya yamesambaa ndio maana Kila Makao Makuu ya Wilaya Yana Usafari wa Mabasi makubwa kwenda Dar na Mikoa mingine.

Sijawahi Ona Bus linatoka Sengerema-Dar 🀣🀣🀣 au Longido Dar 😁😁

Mbeya Dar
Ubaruku(Mbarali) Dar
Chunya Dar
Rungwe Dar
Kyela Dar etc etc
 
Mwanza Airport ngojera hadi leo.TAA pamoja na kukabidhiwa bado bure
Ngonjepa wapi wakati mama amemwaga pesa kazi ya new terminal building na Upanuzi wa runway ikiwemo ujenzi wa cold rooms na hotel unaendelea?
 
Mkuu zile viatu vikubwa ni culture sio kuwa hatuna hela hata billionaire laizer anava mbona πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„.
Hapo kwenye GDP per capital ndio naelewa Mbeya maisha ni ya nafuu sana kupita mikoa mingi naelewa. Unegundua per capita na domestic product sehemu nyingi hazi correlate?? Angalia Mwanza kwa mfano GDP kubwa na Umaskini mkubwa vile vile Kudos Mbeya kwa hilo
 
Ngonjepa wapi wakati mama amemwaga pesa kazi ya new terminal building na Upanuzi wa runway ikiwemo ujenzi wa cold rooms na hotel unaendelea?
Mkuu Mbeya mmepewa international Airport bure lakin nyie mnagombania new force na sauli πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† wangetupa Arusha hiyo sisi pale flights 150 kwa siku
 
Mwanza Ina GDP kubwa kulinganisha na Mikoa mingine apart from Dar lakini Kwa idadi Ile ya watu walitakiwa wawe ya GDP karibu na Dar ndio ingefanya maisha mazuri yaani wawe na average ya per Capita kuanzia 4M kwenda Juu.

Mwisho Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ndio GDP Ina uhusiano na life directly maana huku hatutegemei GGM au Ngorongo Bali tunalima na pesa Zinaenda kwetu Moja kwa Moja.

My Take: Kacha zingine ni za kisengerema 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…